Prof. Muhongo na tatizo la umeme.

Prof. Muhongo na tatizo la umeme.

masomo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
208
Reaction score
46
Moja ya njia ninayoamini ni ya kumaliza tatizo la umeme Tanzania na kunyanyua uchumi wa nchi, ni serekali kununua dowans na IPTL.haya ndiyo makampuni yanayolinyonya shirika la umeme tanesco na nchi kwa ujumla wake.Haya ni makampuni ya kifisisadi katika kiwango cha kimafia.Iwapo waziri yupo serious kumaliza matatizo ya umeme angeanza kushauri serikali kuyanunua makampuni haya ya kinyonyaji na aache kujifunza porojo za siasa.
 
Back
Top Bottom