Mbogo Junior
JF-Expert Member
- Jan 21, 2012
- 257
- 72
Suala la kuchimba dawa limefumuka bungeni leo. Naibu waziri ajitetea serikali kuagiza mabehewa mapya yenye uwezo wa kuhifadhi uchafu mpaka mwisho wa safari. Sasa, iwapo haya mabehewa yaliyokarabatiwa na kuanza safari kwa nini wasingeanza nayo.Hapo ndipo majibu rahisi kwa maswali magumu yanapojionyesha.