Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,436
Katika kipindi cha Dakika 45 Cha ITV leo usiku, Waziri wa Nishati na Madini Professor Sospeter Muhongo amezungumzia dhana ya People's Power ya Chadema na kusema kwamba, ametoa ushauri panapohusika kwamba PEOPLE'S POWER is very narrow and counterproductive in terms of socio-economic development in Tanzania; Hivyo amependekeza suala hili liwe broadened zaidi into other areas, without removing people from the centre;
Prof ameonyesha kukubali umuhimu wa kuendelea kuweka PEOPLE at the centre lakini in a much broader perspective kama ifuatavyo - in order of importance:
Ameshauri kwamba ili tuendelee, haya ndio maeneo muhimu kufanyiwa kazi, sio kubakia tu na People's Power, na kwamba kwa kufanya hivyo, tutaweza ingia mwaka 2025 kama taifa lililo piga hatua kimaendeleo i.e. taifa la Uchumi wa Kati – in terms of National Income;
Kwa maoni yangu, mtazamo wake ambao umeacha equation ibakie na suala la ‘PEOPLE' intact i.e. People wabakie at the centre, is very wise; Lakini pia wazo lake juu ya umuhimu wa kupanua dhana ya people into other areas is very innovative, hasa kwa kuweka suala zima la maendeleo liwe People Centered; Performance, Progress and Prosperity, haya yote ni more practical; People's Power is important but not sufficient;
Kama ambavyo tumekuwa tunajadili katika mada mbalimbali kuhusu Chadema kutojipanga licha ya uwepo fursa nzuri mbele yao, Chadema is falling short of kuelezea UMMA mpango wao wa Kati na Muda Mrefu ni upi, iwapo itafanikiwa kuingia Ikulu 2015; Maoni ya Prof Muhongo should serve as a wake-up call for Chadema; Chadema has to wake up and smell the coffee;
Kuingia Ikulu inaweza ikawa ni rahisi kama kutoka Ikulu 2020 if not before; Once You get into Power Through People, ni muhimu kuweka wazi masuala ya performance, ili iwe rahisi to track progress, kwani kwa kufanya hivyo, kutakuwa na prosperity, hence political Success for Chadema; Ni muhimu Chadema kujipanga, hasa kuchukau ushauri wa wadau mbali mbali na kuufanyia kazi, na kundokana na tabia ya kupuuza ushauri wa watu kwa hoja kwamba watu hao hawakuwepo wakati wa ujenzi wa chama; Chadema ita survive kutokana na nguvu ya watu waliosubiria kuona umakini wa chama kabla ya kujiunga nacho na sio vinginevyo, kwani wengi ya waliokijenga kufikia hapa kwa sasa wapo kwenye mfarakano kuliko kuimarisha chama;
cc: EMT, jasusi, jmushi1, bongolander, nguruvi3, mimibaba, jingafalsafa, jokakuu, mzee mwanakijiji, pasco, nasdaz, zakumi, blue ray, gedeli, kwame nkrumah; mkandara;

- People's Performance
- People's Progress
- People's Prosperity