Sisi ni wajinga

Sisi ni wajinga

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,050
Reaction score
748
SISI NI WAJINGA, WAZUNGU wanajifanya werevu na wenye akili nyingi kutuzidi lakini ukweli ni kwamba sisi tunaakili zaidi ya wazungu, wanzungu wanaakili za kukalili, kuhukumu nakutuweka kwenye boksi( put you in the box), wakati sisi tunaakili nyepesi za kuelewa, kuchang'anua ,kufahamu na kusamehe. Kwa mfano ukifanyakosa dogo tu la kibinadamu wanakuhukumuna kukuweka wenye boksi, wanakalili kuwa hivyo ndivyo ulivyo na ni tabia yako wakatisisi ukifanya kosa dogo la kibinadamu tunaamini kuwa umepitiwa na shetani, tutakusamehena kukupa nafasi nyingine ujilekebishe. Wanzunguwametuweka kwenye boksi kuwa akili zetu ni finyu, wezi, wala rushwa,maskini, hatujisumbui kufikiri, viongozi wetu wadhaifu na wapenda sifa,watumwa, tunamanguvu, tunaishi katika maisha na mazingira magumu. n.k we mwenyewe utaongezeaaaaaa.

Sis ni wajinga na tunaruhusu wazugu kutuweka kwenye maboksikwa sababu viongozi wetu wanawathamini na kuwatukuza wazungu, nadharia, maishana sera zao hata zilizo mbovu nakutudharau sisi wananchi wa kawaida kwa madai kwamba hatujui, hatujasoma na ni wajinga wakati kuna wazungu kibaohawajasoma na ni viongizi wa juu ( UK asilimia kubwa ya ma-manager wanatumia experience na sio wenye master na phd na elimu kuu kwao ni elimu ya ujuzi na ufundi na degree).

Kiufupi sisi tumejaliwa akili zaidi ya wazungu na ndo maanawanalazimika kututawala kimabavu kwa kuwapumbaza viongozi wetu( toka enzi zaukoloni) lakini sera zao kwa kushirikiana na viongozi wetu zimeshindwa kutuletea maendeleo na kutuondoa katika dimbila umaskini, zaidi ya kutujengea matabaka. Ndo maana nyerere aliwauliza WB na IMF kuwa mnasemasisi tumeshindwa je ninyi umefanya nini? Harafu bado viongozi wetu wa sasa wanajipendekezawa hawa watu! Mh!!!!

Kiufupi wamewaweka viongozi wetu kwenye boksi kuwa akili zaohupenda kusifiwa, kupewa 10% kura rushwa, kutawala milele, kusafiri ulaya,wanawake, magari ya kifahari wakati walipakodi wanaangaika n.k ongezea mwenyeweeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom