Wenzangu, salaam?
Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuweka wazi yale madili aliyofanya huyu bwana kwa jina la Ammy Mpungwe...wakati akina yona na mkapa wakiandaliwa kesi kwenda kwa vyombo vya sheria haitokuwa sawa huyu bwana akiachwa...si vizuri kumsahau...nadhani huyu ni fisadi mwalimu...huenda wengi wao wamejifunzia kwao...nadhani huyu ndo mwalimu wao hawa woote mnaowaona sasa...alicheza michezo michafu kuanzia pale NBC, TBL, TANESCO (yeye ndo alialeta wale wazungu), Madini kule mererani...and was/ is among the top men in their boards...si mnakumbuka alikuwa balozi kule south africa? nadhani kuna mtu alimtuma akafanye madili yale na lipomaliza akaacha ubalozi...