Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,679 Reaction score 10,160 Jul 30, 2025 #1 Kama jaji au hakimu anastaafu kumbe alikuwa anafanya huku ana kadi ya CCM unategemea nini? Jaji au hakimu anastaafu alafu anagombea ubunge au urais. Hakuna haki itayopatikana.
Kama jaji au hakimu anastaafu kumbe alikuwa anafanya huku ana kadi ya CCM unategemea nini? Jaji au hakimu anastaafu alafu anagombea ubunge au urais. Hakuna haki itayopatikana.