Labda January Makamba?GTs,
Nimeoteshwa Mh. Mpina ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa CCM
He's a crazy manGTs,
Nimeoteshwa Mh. Mpina ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa CCM
Wampe GwajiboyGTs,
Nimeoteshwa Mh. Mpina ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa CCM
Ni ndoto nzuri sana lakini haiwezekani.GTs,
Nimeoteshwa Mh. Mpina ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa CCM
Sio rahisi, wanamuona kama adui yaoWampe Gwajiboy
Amka usije jikojolea.......GTs,
Nimeoteshwa Mh. Mpina ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa CCM
Watumie ule msemo kuwa mkabidhi mchawi akulelee mwanao!Sio rahisi, wanamuona kama adui yao
Acha imani za kishirikinaGTs,
Nimeoteshwa Mh. Mpina ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa CCM
Bora umesema nindoto huo ni uchafu kwa ccm jamaa analaana kubwa kwa sisi wavuvi mwizi mkubwa yuleGTs,
Nimeoteshwa Mh. Mpina ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa CCM
Tuliye naye hana akili hiyoWatumie ule msemo kuwa mkabidhi mchawi akulelee mwanao!