Kikwete kuhudhuria Obama inauguration?

Kikwete kuhudhuria Obama inauguration?

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,446
Tumesikia Rais anajiandaa kuelekea huko kwa wajanja kumpongeza Rais Obama,,,,kama ni kweli mimi basi!
 
Teh yawezekana mkuu maana hata asipopewa kadi ya mualiko watamkuta sebuleni keshaingia...........
 
huko anaenda kubadilishana suti kwa rasilimali zetu
 
Mie huwa nahisi JK hakujua pale magogoni kuna kazi gani.

Mie naamini moyo anao na uwezo anao ila nahisi hakujiandaa. Ndo maana mnaanza hata kumtabiria ..
 
. director1, kalikwa ama ndio anasaka mwaliko? maana wamarekani huwa hawana huo utaratibu kama wa Afrika.
 
Last edited by a moderator:
Kikwete kwakupenda sifa nadhani itakuwa safari yake ya miatatu na kitu nadhani kabla ya uchaguzi 2015,kikwete atatoa mrejesho wa safari zake ili kuweza kukinusuru chama
 
Back
Top Bottom