KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,678
- 8,864
Nasema nimwaka mbaya kwa kambi ya upinzani katika bunge kwani kitendo cha ccm kuwasimamisha wabunge wanawake kuwania Uspika ni ishara ya kudhoofisha upinzani Bungeni!kwa kulinda maslahi ya wakubwa bungeni kwakutambua kuwa nirahisi kumuingia mwanamke kuliko kumuingia mwanamume kwa matakwa yako ndiyo maana mafisadi wamefanya kila njia kuhakikisha Samweli sita anaanguka kwakujua hilo ndiyo maana Chenge alisimamishwa!!kwakuwa wote wana influence kwenye chama wakatumia hoja wote tuwapige chini Sitta na Chenge!!lakini huku wakijua lengo lao limetimia lakumuangusha Samweli Sitta kwani walitambua angerudi bungeni angekuwa mwiba kwao!Chakuomba wapinzani wachukue kiti hicho cha uspika!!Na team inayomuunga mkono Sitta watachagua upinzani hilo halina kificho hapa! Mafisadi ni wabaya kokote ulimwenguni kwani wana nguvu ana kwenye serikali husika!