Hivi kuna anayekumbuka kuulizia 'contents' za mikataba anayoingia JK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna anayekumbuka kuulizia 'contents' za mikataba anayoingia JK?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Oct 21, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  watanzania naona kuna mambo mengi sana yapo mezani na mengine yanakuja huku tukiwa na waandishi makanjanja ambao huw aissue ikishatoka ktk topo ten hakuna wanaopoteza muda kuzifuatilia hizo habari.Sasa mikataba inakuja kila kukicha hakuna nayehoji contents zake.Kila mtu anajua mataifa yanajituma kurudisha makooni yake wakati wengine wanatafuta mapya au hata kujipatia sehemu.Oman,Ujerumani,Uchina, nk. tayari zimeshafanya mengi sana na ni wazi wanataka rudisha nguvu zake.Kwa jinsi JK alionekana kule oman n amapokezi yake ni wazi kuna mengi tutajutia sana watanzania.

  Siku zaja JK anaweza pewa hifadhi kule ikiw aataamu wapa Zanzibar yao hawa jamaa na sehumu ya bara kama wawekezaji ambao watajishika katk uhai wa uchumi wetu vyema.Kauliza zilioztoka kule wakati JK akiwepo kule ni wazi hali si njema sana.Na ikizingatiwa kuwa kuna waoman wengi tuu wanajeshi na wengine wana Ndugu wa damu kabisa ktk jamii zetu hasa zile sehemu zilizopitiwa na utumwa na pembe za ndovu.Wapo waomani waliotoka ,kimamba,ujiji, urambo, iringa, morogoro, bwagamoyo, upare, kwasabadala ,tanga, lindi, na wnegi toka Zanzibar.Hawa jamaa wanakijua Kiswahili sana tusishangae wakigeuka kuwa kama mamluki kwa amri ya kule.

  Jk kasifia sana mendeleo ya Oman sijui ni yale majengo yenye nakshi zilizowekwa kwa rasilimali zetu tulizopewa na mola au lah.Ila nijuacho ni kwamba nina marafiki wa kutosha wanoishi Oman kama raia ktk sector nyingi,wanakiri kuwa elimu ya wale jamaa ipo chini sana,na wengine wamediriki leta watoto wao Tanzania kuja kusoma.JK hawezi jibu hili kwa vile hana takwimu na pengine hajaona nafasi ya kuwafanya bishara ya elimu kwa taasisz etu za elimu ili pia tuweze washape hawa watu ili wasijekuwa wakatili kw auzao wetu miaka ijayo.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Nani atakumbuka ndugu yangu, niliandika Huku juzi namna viongozi wetu wanavyokuwa nje walivyo na maisha ya ovyo ya kufanya shopping na kutafuta wenza wa kuwapumzisha usiku, na Mbaya zaidi Hawa Akina membe kutwa kucha kutafuta pesa za kampeni na Akina prof muhongo baada ya kuonjeshwa nundu ya nyama wakiwa safarini wanashinda kwenye masufuria ya nyama.angalia miasafara tunayoambiwa ya kiuchumi nje ya NChi imejaa wanasiasa na sio wataalamu, hivi mtu Kama salva rweyemamu unategemea anasaidia vipi huko nje zaidi ya kuongeza mihuri kwenye hati yake ya kusafiria ili akajisifie kwenye bar za tabata.
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  membe kahamia Oman sasa baada ya Ghaddafi kuondoka na walibya kunchukia kabisa ,sasa watanzania tunanchukia mara nyingi sana.
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu angalia siasa zinavyokwenda hapa TZ unaweza kujua maana ya ziara ya Oman.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  Matokeo ya Safari za JK yatagharimu mpaka maisha ya wajukuu zetu.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  hivi JK kaweza hata wapa wana CCM wenzake briefing ya safari ya Oman, na aina ya mkataba alioingia nao huko hata angechukua kipande kimoja ktk huo mkataba,ili watanzania wapime?sasa wanampa kura za nini kama hawajui aalichokifanya kilikuwa kizuri vipi au kibaya vipi?
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  utaambiwa mikataba ni siri.....
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  ndipo wanapozibwa midomo CCM.Ila kioongozi makini angeweza waambia wenye hii nchi kuwa kaenda ingia makataba gani, angalua in brief kw akuchomoa hiaghlights tuu.
   
Loading...