Wakati tulio nao

Wakati tulio nao

KIMBWANGAI

Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
75
Reaction score
22
Kwa uongozi wa chama kilicho madarakani,je watu kama MKWAWA,KINJEKITILE na mashujaa wengine waliotangulia mbele za haki ambao hawakuwa na elimu hata ya chuo.wakirudi nakukuta viongozi ambao tuna waregard kama wasomi wenye kujibinafsishia madaraka na kutowajali wananchi walio wengi.sina ugomvi na viongozi wa chama tawala,ila jaribu kujiuliza hawa mashujaa ambao wengine walidiliki kutoa uhai wao ilimradi tu asiwe chini ya wakoloni {WAZUNGU} lakini leo hi viongozi wetu wanawafuata haohao {wakoloni} na kuwaomba warudi tena huku.R.I.P chief MKWAWA.
 
Back
Top Bottom