Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

- Nimeona Mkurugenzi wa CHADEMA leo akidai maelezo kuhusiana na safari ya hivi karibuni ya Waziri wa CCM Magufuli huko Kenya na kuhusika na mikutano ya kampeni za Urais huko, - Now kwenye hilo...
4 Reactions
148 Replies
13K Views
Nina hakika nyie ni mashaidi aidha kwa kutumia vyombo vya habari vya ndani na vyombo vingine vya nje kuhusu maendeleo yaliyoko RWANDA japokuwa nchi hiyo imekuwa ndani ya vita vya wenyewe kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ilivyotabiriwa Tsunami kubwa ya wafuasi wa chadema wameanza kuhamia CCM, Leo hii tayari mwenyekiti wa vijana Katibu wa vijana Katibu mwenezi wote hawa wamechukizwa na siasa za kihuni za...
0 Reactions
94 Replies
7K Views
MBUNGE wa Segerea, jijini Dar es Salaam, Dk Makongoro Mahanga amesema rushwa na ufisadi ndiyo ajenda pekee ya vyama vya upinzani katika kukichafua CCM na kuitumia kama hoja ya kutaka kukiondoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nichukue fursa hii kumfunza kijana Nape katiba ya chama kilichomlea tangu azaliwe na kinachomuweka mjini leo hii: Bahati mbaya sana kwa ccm, siku ya kufa nyani miti yote huteleza, CCM ipo...
20 Reactions
179 Replies
13K Views
  • Closed
Vijana wanaojiita CHADEMA na kuimba nyimbo zoooote za CCM na kubeba vibwagizo vya Nape Nnauye, wanafanya press conference Jijini Mwanza muda huu kutukana harakati za mabadiliko nchini. Wanapambana...
8 Reactions
699 Replies
43K Views
CHADEMA: MAGAMBA WATATU VUNJA VUNJA BILA ROYALTY: MAKAMANDA WA CHADEMA: Tuwe waangarifu sana, tushikamane, tuwe royal kwa chama chenu, tusikubali kurubuniwa. Huu ni wakati mgumu kuliko wote...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo tunaendelea na mjadala wetu kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa muktadha wa kutazama muundo wa Umoja wa Ulaya (EU). Kama tunavyofahamu kuwa Umoja wa Ulaya si Muungano wa Kikatiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni baada ya RPC Mwanza kukataa agizo la kamati ya ulinzi ya wilaya (kamati za fitina) kuwakamata wabunge wa Chadema. Nawaomba CCM wakae kitako na kutafakari (soul searching) angalau wawe...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jee, wimbi la mageuzi ya kisiasa katika mataifa ya kiarabu yameleta manufaa yoyote? wote wenye kufuatilia mambo yanavyokwenda afrika hasa libya,misri na kwingineko..je ni kwa kiasi gani wananchi...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Watanzania tumekuwa tukichekwa na watu wa nje kuwa hatujui jibu maswali, tuna reasoning mbovu na mambo mengine.Pia wana mapinduzi wamekuwa wakipata shida sana kujadili mambo na CCM, kuwaelimisha...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimevutiwa na tamko la Machifu wa Mbeya dhidi ya tukio la mauaji la Mwenyekiti wa CCM,wa Wilaya.Huku ndani ya JF kuna thread Mchambuzi nilichangia kama wiki mbili zilizopita nikasema kama Wazee wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
-Siku za karibuni Nape ameanza piga kelele kuwa watu kadhaa wanashikilia kadi za CCM, bado haikuweza k uwa issue kwa vile kadi hununuliwa na watu wengi tuu hawarudishi hizo kadi.Wengine kama...
0 Reactions
230 Replies
13K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) EMAIL PRINT SHARE BY PETER TEMBA, 14 DECEMBER 2012 THE Gross Domestic Product (GDP) in Kilimanjaro Region has increased from 714.7m/- in 2005 to 1.4bn/- in...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Magamba wanazidi kulowa. Maji yanazidi unga. Wakati Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar es Salaam ikitoa hukumu ya kumrudishia udiwani na kumthibitisha Kamanda Ulole Ulole kuwa Diwani halali wa Kata...
6 Reactions
58 Replies
5K Views
Mwl. Nyerere wakati wa enzi zake akiwa ameng'atuka aliwahisema katika uchaguzi fulani wa kitaifa alipiga kura ya urais kwa mgombea wa CCM lakini kwa nafasi ya ubunge alimpigia mgombea wa upinzani...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hongera za dhati kwa serikali ya Tanzania kwa kuwajali wananchi wake, hatimae leo waathirika wa mabomu Gongo la Mboto watakabidhiwa nyumba zao na Mh rais Kikwete. ======== Habari Kamili: Rais...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wana JF mi dukuduku langu ni juu ya Hii jumuiya ya WAZAZI ya CCM nina maswali ambayo najiuliza kila siku lakini sipati majibu, maswali yangu ni haya yafuatayo Katika hii Jumuiya ili uwe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu...
1 Reactions
98 Replies
7K Views
Machifu zaidi ya wanane wamekutana nyumbani kwa Mzee Anyelwisye Mwankenja, baba yake na John Mwankenja aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rungwe na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rungwe...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…