Je,hili ni kweli lilitokea kwa wagombea wa CHADEMA na viongozi?

Mr.Busta

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
672
99
Chonde chonde wanaJf naombeni kujua kama kweli wakati wa uchaguzi 2010 katika baadhi ya wagombea wa cdm walifanyiwa hujuma kwa baadhi ya mamluki waliochukua form za kugombea na kutokomea nazo ktk ngaz ya majimbo,na udiwani ili kuondoa upinzani na wagombea wa ccm kupita bila kupigwa? Kama ni kweli ni majimbo gan? Au kata zipi? CHONDECHONDE MAMODS NAOMBENI MSIFUTE HII THREAD NI MUHIMU KWANGU KAMA NITAPATA MAJIBU.NAOMBENI DATA JAMANI.
 
Hao hata kwetu wapo hata wakashinda wakauza wakakubali kushindwa. Umaskini huu nao ccm ilaaniwe
Chonde chonde wanaJf
naombeni kujua kama kweli wakati wa uchaguzi 2010 katika baadhi ya
wagombea wa cdm walifanyiwa hujuma kwa baadhi ya mamluki waliochukua
form za kugombea na kutokomea nazo ktk ngaz ya majimbo,na udiwani ili
kuondoa upinzani na wagombea wa ccm kupita bila kupigwa? Kama ni kweli
ni majimbo gan? Au kata zipi? CHONDECHONDE MAMODS NAOMBENI MSIFUTE HII
THREAD NI MUHIMU KWANGU KAMA NITAPATA MAJIBU.NAOMBENI DATA
JAMANI.
 
Nahisi ilitokea sana tu, zilikuwa ni hujuam za kila namna.Unakumbuka habari ya shitambala mara mbili anahujumu? Mbeya vijijini
 
Back
Top Bottom