Jinsi CCM inavyoingamiza Mtwara

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
CCM imezidi kuendeleza dhulma zake kwa wananchi wa kanda hiyo kwa kuwakosesha soko la uhakika wa zao za korosho hali iliyopelekea wakulima wa zao hilo kutoa mazao kwa mkopo kwa wanunuzi,,

utaratibu wa malipo wa stakabadhi ghalani ndio hasa uliokakubaliwa na kuwapa wakulima tumaini msimu uliopita,,kumbe CCM ilikua inawacheza shere wakulima hao,na hawakuwa na nia ya dhati katika kuwasaidia,,

Hali ya maisha ya wakulima mkoani humo imezidi kua tete, Jimbo la Tandahimba Mbunge wa CCM Juma Njwayo ambae amelikimbia jimbo hilo mara baada ya ushindi wake wa zengwe wa uchaguz wa wizi 2010 dhidi ya aliyekuwa mgombea wa CUF ndugu Katani,, mbunge huyo kalikimbia jimbo hilo na wananchi wamempga marufuku kutokanyaga ardhi ile, nyumba yake ilichomwa moto, mashamba yake yalichomwa moto na gari lake kuvurumishiwa mawe na wananchi wenye hasira kali kutokana na kukosa kuwajibika na uzuzu wa mbunge njwayo,,mtwara vijijini jimbo la hawa ghasia hali imekua hivo hivo,,

Mtwara mjini kuna mbunge hopless sana anaitwa Murji,,yeye kwa kushirikiana na kaka yake wa damu anaeitwa Abbas,wanatumia kampuni yao ya ununuzi wa korosho kufanya ulanguzi kwa kununua zao hilo kwa bei sh 600 kwa kilo kutoka 1200 ya msimu uliopita tena kwa mkopo,wamesababisha hali ngumu kwa wakulima wote wa zao la korosho katika mkoa huo,,

serikali haina usemi kwa kuwa yasemekana JK anapata asilimia fulani katika mauzo ya zao hilo kwa kampuni hiyo,ikumbukwe JK ndiye aliefanya uteuzi tata wa Anna Abdallah na Mudhihir Mudhihir kuwa wakuu wa Bodi ya Korosho jambo lililopeleka kulifanya zao hilo kuwa ni kitega uchumi chao huku wananchi wakiendelea kunyanyasika na kukosa mwelekeo wa maisha siku baada ya siku,,

CCM imekosa huruma na WaTz,na ndio maana Kinana na Nape waliambulia zomea zomea walipodhuru kanda ile, CCM ni sikio la kufa tuiache tuh ijifie zake na tuikomboe nchi yetu 2015,,

kifo cha CCM 2015 kinawezekana,tuache kulalamika lalamika,tunaambiana haya sio kwa propaganda kama wanavofanya kina Nepi,tunaambiana haya yote ili tuzinduke na kila mtu atimize wajibu wake panapo majaliwa hapo 2015 kwa maslahi ya vizazi vyetu vijavyo,,

jinamizi hili la CCM liishie kizazi hiki hiki,,
 
Kwani Shilingi hayupo ? amechukua hatua gani? na yule Shillingi wa Chikongola naye yupo?
 
Hali ya maisha ya wakulima wa korosho itaendelea kudidimia endapo serikali itaendelea kuwalea wahindi!
 
hali ya maisha ya wakulima wa korosho itaendelea kudidimia endapo serikali itaendelea kuwalea wahindi!

Ni kweli kabisa,nimetambua sasa kwanin Benjamin Mkapa alimpga vita hadi akalikata jina lake huyu muhindi Murji ambae JK kaja kumpitisha katika zama zake,huyu mbunge ndie hasa mwiba mchungu kwa wakulima wa zao hilo,korosho ya tTanzania ni premium,ina hadhi ya hali ya juu hata ukifananisha na ya india na zile za africa magharibi,sijui kwanin serikali ikumbatie utaritibu huu wa kuuza korosho ghafi,serikali ipo kwenye usingiz mzito,imekosa maarifa,imelewa kwenye dimbwi la ufisadi na kuomba omba hali ya kuwa fursa zipo nje nje za kuwakomboa wakulima

CCM haikubaliki
 
Wabunge wa Mtwara (Ghasia, Murji, Njwayo, Bwanausi, Mkuchika, Mkapa na Kasembe) wapo makini, wiki ijayo watakuja na suluhisho la zao la korosho kuhusiana na ununuzi, serikali yetu makini ipo katika mchakato wa kushughulikia.
 
wabunge wa mtwara (ghasia, murji, njwayo, bwanausi, mkuchika, mkapa na kasembe) wapo makini, wiki ijayo watakuja na suluhisho la zao la korosho kuhusiana na ununuzi, serikali yetu makini ipo katika mchakato wa kushughulikia.


kumbe unaleta ushindani hali ya kuwa wananchi wanaangamia??

Kama walithubutu na mabosi wao wakaambulia zomea zomea wakija pekeyao si watachinjwa kabisa??

Pia hujui ulisemalo,huyo njwayo unaemtaja hata kufika kwenyewe jimboni hadi alindwe na polisi,,

kifo chenu kishafika,naona mnazid kutapa tapa
 
Wabunge wa Mtwara (Ghasia, Murji, Njwayo, Bwanausi, Mkuchika, Mkapa na Kasembe) wapo makini, wiki ijayo watakuja na suluhisho la zao la korosho kuhusiana na ununuzi, serikali yetu makini ipo katika mchakato wa kushughulikia.

wapo makini sana kudidimiza maendeleo ya mkoa wao na kuwanyonya wakulima wa korosho.
 
wapo makini sana kudidimiza maendeleo ya mkoa wao na kuwanyonya wakulima wa korosho.


tell him,,

yeye amekalia ubishi na ushindani tuh,hata linapokuja suala linalohusu maisha ya watz wenzake
hovyo kabisa
 
tangu asumisa chi supu kusokoni,

hana ubavu huo,tena ye na murji paka na panya,anamuogopa sana.



ha ha ha ha ha ha(tangu asumisa chamani?magosi??eeh))

ccm is hopless indeed,kuendelea kukaa na kuwategemea wahindi wenye njaa njaa kama hawa hali ya kuwa wakulima wanaangamia ni kukosa uzalendo,,

jeikei is hopless too,huwez chukua chombo kikubwa kama bodi ya korosho kisha ukampa anna abdallah awe mwenyekiti wa bodi,ni ulimbukeni wa hali ya juu
 
ha ha ha ha ha ha(tangu asumisa chamani?magosi??eeh))

ccm is hopless indeed,kuendelea kukaa na kuwategemea wahindi wenye njaa njaa kama hawa hali ya kuwa wakulima wanaangamia ni kukosa uzalendo,,

jeikei is hopless too,huwez chukua chombo kikubwa kama bodi ya korosho kisha ukampa anna abdallah awe mwenyekiti wa bodi,ni ulimbukeni wa hali ya juu


hahahaha magosi kaka aka mambende!

Anna Abdallah,Mudhihir na semboja (haji )wote wa jk
 
Tatizo la watu wa huko ni umaskini wa akili
CCM imezidi kuendeleza
dhulma zake kwa wananchi wa kanda hiyo kwa kuwakosesha soko la uhakika
wa zao za korosho hali iliyopelekea wakulima wa zao hilo kutoa mazao kwa
mkopo kwa wanunuzi,,

utaratibu wa malipo wa stakabadhi ghalani ndio hasa uliokakubaliwa na
kuwapa wakulima tumaini msimu uliopita,,kumbe CCM ilikua inawacheza
shere wakulima hao,na hawakuwa na nia ya dhati katika kuwasaidia,,

Hali ya maisha ya wakulima mkoani humo imezidi kua tete, Jimbo la
Tandahimba Mbunge wa CCM Juma Njwayo ambae amelikimbia jimbo hilo mara
baada ya ushindi wake wa zengwe wa uchaguz wa wizi 2010 dhidi ya
aliyekuwa mgombea wa CUF ndugu Katani,, mbunge huyo kalikimbia jimbo
hilo na wananchi wamempga marufuku kutokanyaga ardhi ile, nyumba yake
ilichomwa moto, mashamba yake yalichomwa moto na gari lake kuvurumishiwa
mawe na wananchi wenye hasira kali kutokana na kukosa kuwajibika na
uzuzu wa mbunge njwayo,,mtwara vijijini jimbo la hawa ghasia hali imekua
hivo hivo,,

Mtwara mjini kuna mbunge hopless sana anaitwa Murji,,yeye kwa
kushirikiana na kaka yake wa damu anaeitwa Abbas,wanatumia kampuni yao
ya ununuzi wa korosho kufanya ulanguzi kwa kununua zao hilo kwa bei sh
600 kwa kilo kutoka 1200 ya msimu uliopita tena kwa mkopo,wamesababisha
hali ngumu kwa wakulima wote wa zao la korosho katika mkoa huo,,

serikali haina usemi kwa kuwa yasemekana JK anapata asilimia fulani
katika mauzo ya zao hilo kwa kampuni hiyo,ikumbukwe JK ndiye aliefanya
uteuzi tata wa Anna Abdallah na Mudhihir Mudhihir kuwa wakuu wa Bodi ya
Korosho jambo lililopeleka kulifanya zao hilo kuwa ni kitega uchumi chao
huku wananchi wakiendelea kunyanyasika na kukosa mwelekeo wa maisha
siku baada ya siku,,

CCM imekosa huruma na WaTz,na ndio maana Kinana na Nape waliambulia
zomea zomea walipodhuru kanda ile, CCM ni sikio la kufa tuiache tuh
ijifie zake na tuikomboe nchi yetu 2015,,

kifo cha CCM 2015 kinawezekana,tuache kulalamika
lalamika,tunaambiana haya sio kwa propaganda kama wanavofanya kina
Nepi,tunaambiana haya yote ili tuzinduke na kila mtu atimize wajibu wake
panapo majaliwa hapo 2015 kwa maslahi ya vizazi vyetu vijavyo,,

jinamizi hili la CCM liishie kizazi hiki hiki,,
 
Back
Top Bottom