NAPE hatukani,hadharau....akakiri

NAPE hatukani,hadharau....akakiri

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Imekuwa ni kawaida ya Katibu Mwenezi wa CCM Nape Nnauye kumwita Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr.Wilbrod Peter Slaa,'Babu'. Kuita huku kuna kera wapenda siasa za staha na za kujenga. Kunakera sana wafuasi wa Dr.Slaa ambaye ni kati ya watu wachache nchini Tanzania wenye heshima iliyotukuka.

Dr.Slaa amezaliwa mwaka 1948,miaka miwili tu kabla ya kuzaliwa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Pia ni miaka 11 baada ya kuzaliwa kwa Hayati Brigd.Moses Nnauye aliyefariki mwaka 2001,ambaye ndiye baba wa Nape.

Kimahesabu,baba wa Nape ni mkubwa sana kwa Dr.Slaa. Angalau Rais Kikwete na Dr.Slaa ndio wapo kwenye rika moja ya tofauti ya miaka miwili. Kumwita 'Babu' Dr. Slaa ni kumkuza sana. Iweje mwenye umri mdogo kwa baba yako umwite babu? Baba yako hukuwahi kumwita baba? Kwanini? Unakiri kuwa hukuwa na adabu kwa marehemu baba yako? Mbona Kinana,Mangula,Msekwa,Kingunge na Kikwete huwaiti babu? Tazama Nape,unakiri kuwa hukuwahi kuwa na baba aliyempita Dr.Slaa miaka 11!
 
MKUU!

Una hakika na hayo maneno kwenye rangi nyekundu???????!!!!!!!!
 
Ni upi uhusiano wa Kamran na Kinana? Wote ni wauza nyara za Serikali ? Wote meli zao ziko na Mafia kule ukanda wa unguja?
 
Nape siku zote na mara nyingi ana akili za kitoto! Huwezi amini kuwa amepewa cheo kikubwa namna hiyo na ccm. Siwaelewi ccm wana upungufu wa namna gani na wanachama makini.
 
Imekuwa ni kawaida ya Katibu Mwenezi wa CCM Nape Nnauye kumwita Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr.Wilbrod Peter Slaa,'Babu'. Kuita huku kuna kera wapenda siasa za staha na za kujenga. Kunakera sana wafuasi wa Dr.Slaa ambaye ni kati ya watu wachache nchini Tanzania wenye heshima iliyotukuka.

niliwahi kusema hili humu nadhani mwezi haujaisha. binafsi silipendi hilo jina anavolitumia Nape. analitumia kama kejeli, hii ni pure discrimination. neno hili lafaa kutumika kwa mjukuu na babu. zaidi ya hapo ni ujumbe tosha kwamba "wewe umekwisha" Nape ana act kama "msawahili". katika watu ambao wamo CCM wanaosema hovyo ni Nape. Nashangaa CCM wanavutika nini na mtu huyu. mwanzo nilidhani ni mwanamapinduzi pale alipokuwa akiwashambulia mafisadi lakini baadae niligundua kuwa ana matatizo kuliko faida kwa taifa hili.
 
Back
Top Bottom