Unajua Watanzania Tumezidi Ujinga sana, Yaani tunapelekwa pelekwa tu Kama misukule flani Na tunaridhika kabisa tu.. Jambazi, Mwizi wa Mali ya Umma, mdhulmati mkubwa, Bado anakumbatiwa tu Na...
Wakuu hatuna budi kumpongeza RPC wa mtwara kwa kuruhusu kufanyika kwa maandamano leo huko mkoani Mtwara.Ni hatua nzuri inayoonjesha uwajibikaji kwa mujibu wa sheri na kanuni za nchi.Ni ma-RPC...
27 DECEMBER 2012
ZANZIBAR'S real Gross Domestic Product (GDP) grew by 10 per cent in the quarter ending September 2012 compared to a growth of 1.4 per cent of the corresponding period...
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini hivi karibuni alijikuta akirushiwa lawama kwa kusema kuwa mbwa ni ustaarabu wa wazungu. Maneno haya yalizusha hasira kiasi cha kuhitaji maelezo zaidi baada ya...
Walimu wamenyanyaswa kwa muda mrefu.........wakipelembeshwa huku na huko kwa kunyimwa stahiki zao na mishahara midogo, wakigoma wanarudi kwa kutishiwa tofauti na Kenya. Mara ya kwanza nilihisi...
Hii nimeipata kwenye mwanannchi ya leo 24/12/2012.
Mbunge wa Arusha Mh. Lema amesema ilipokutana na Mwanasheria mkuu wa serkali Fedrick Werema alimwambia nanukuu "Tuliamua kukuvua ubunge ili...
Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM, kutoka wilaya ya kichama ya Kibaha vijijini bwana BRETA ameshikana mashati na wajumbe waliohudhuria katika kikao alichokiitisha katka kata ya Mlandizi...
DEC25 2012
WIKI iliyopita rafiki yangu kutoka Fiji aliniletea jarida moja lenye picha za kihistoria ya kumbukumbu ya ubaguzi kule Marekani enzi za ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa mtu...
Habari zenu wana JF,Na hongereni kwa kusheherekea sikukuu ya Christmass! Nimepigiwa simu na rafiki yangu aliyepo Songea,kaniambia kwamba mbunge machachari wa Singida Mashariki Tundu...
Tanzania Iran tried to import uranium from DR Congo
(AFP)
6 August 2006
Iran tried to import uranium for its nuclear programme from the Democratic Republic of Congo, but the shipment was...
Mwigulu Nchemba:
Ushindi wa Lema, siyo kwamba anaakili sana au chama chake kina maarifa sana yaliyosababisha ushindi, ila ni kutokana na serikali ya CCM iliyopo madarakani kuheshimu na kujali haki...
​​Wanajamvi, sio kusudi langu kuingilia mtazamo wa mtu yeyote, ila kwa nia ya dhati na uelewa kuhusu uhuru wa kutoa maoni unaolenga kujenga na sio kubomoa, nimeona vema nitoe Ushauri...
Jumuiya ya chama cha wafanyakazi nchini Afrika kusini kimestushwa na utitiri wa wageni toka China kuteka soko la ajira ndani ya nchi ambayo imepiga hatua kubwa za kiuchumi barani Afrika,mstuko huo...
TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAAMUZI YA BARAZA LA MADAKTARI KUHUSU MADAKTARI WALIOGOMA
UTANGULIZI
Kutokana na mgomo wa madaktari uliotokea kati ya tarehe 23 na 29 mwezi juni 2012.Wizara...
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu siasa hapa nchini nimegundua kuwa kuna wanasiasa wawili tu ndio tishio kwa uchaguzi ujao. Wanasiasa hao ambao wanatoka vyama tofauti ni Dr Slaa wa CHADEMA na...
Diwani wa zamani wa sombetini Mussa Mkanga anayehusika moja kwa moja kufungua kesi ya kupinga matokeo jimbo la Arusha mjini yaliyompa ushindi Godbless Lema anadaiwa kutokomea kusikojulikana...
Serikali tuliyonayo na upinzania tulio nao ndio snapshot halisi ya Tanzania na Watanzania wote yaani wewe na mimi, Mtanzania wa mijini na vijijini. Tumefika hapa tulipo aidha kwa nguvu au kwa...
VIDEO- MANYANYASO YA POLISI KWA WANAKIJIJI WA KENDWA | Mzalendo.net
Jee amiri jeshi mkuu Jakaya Kikwete na Generali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema haya ndio malezi ya Jeshi lao zidi ya raia wa...
Wakimama wakiwa wamelala zaidi ya mmoja kwenye kitanda katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam.Picha na Maktaba
HALI si shwari kwenye wodi za wazazi katika hospitali karibu zote kubwa...