Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jiji la mbeya sasa barabara zote zinapitika achiliambali za world bank barabar zote za jiji zimesindiliwa kifusi safi na hakuna matatizo ya magari kukwama tena kama brock T ,mama john, sae, nk na...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu ni mwisho wa mwaka wenye purukushani nyingi lakini lazima tuweze kufanya tafakari ya mambo machache ya msingi na yenye tija kwa taifa. Nimekuwa nikifuatilia vizuri siasa ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Associate members Country Party Abbr Government Argentina Republican Proposal PRO in opposition Belarus Partyja BPF PBNF in opposition Belarus United Civil Party of Belarus UCP in...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nawaonea huruma sana jamaa hawa, kwani polisi wanatikwa wasiwe wanawabeba pale wanaposhindwa kujibu hoja za CDM hususan kuhusu wizi, ubadhirifu na ufisadi uliokubuhu. Ile sera ya kuifanya CDM...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Waziri wa uchukuzi Mh. Mwakyembe amewasimamisha kazi wakurugenzi kumi na sita kwa shutma ya kulichafua shirika la bandari. Vigogo hao wamekua na tabia ya kufungua vikampuni vyao ndani ya...
2 Reactions
117 Replies
13K Views
Nawashauri Wajibu Rufani wa Lema wajiunge na CHADEMA haraka iwezekanavyo.Hii itasaidia kupunguza makali ya gharama za kesi walizoamriwa kuwalipa Mawalikili wawili wa Lema: Method Kimomogoro na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Masoud Ali na Hemed Mazrouy KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANANCHI CUF MAALIM SEIF SHARIFU HAMADI AMETOA PONGEZI KWA RAISI WA JAMUHURI YA MUNGANO WA TANZANIA DR JAKAYA MRISHO KIKWETAE KWA UWAMUZI WA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa ukaidi huu wa wakazi wa Arusha na kwa jinsi tunavyo mfahamu raisi wetu je Arusha tutasalimika, hii imetokana na mwitikio wa wakazi wa Arusha na viunga vyaka kujitokeza kwa wingi sana kwenye...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi tano zilizochaguliwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia, yaani Millenium Challenge Corporation (MCC) kwa ajili ya kupatiwa msaada...
1 Reactions
73 Replies
5K Views
Nawaombeni sana kama mnampenda Nasari kwa moyo wa dhati mwambieni ukweli, kwa kufanya hivyo mtakuwa mmemjenga na mmemsaidia. Siwezi kukubali kumpamba Nasari ilihali najua kuwa ni kweli...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Na Mwinyi Sadallah 23rd December 2012 Meli yenye umri wa miaka 15 tangu zianze kutoa huduma haitosajiliwa au kupewa lesseni ya kuchukua abiria na mizigo visiwani Zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA...
20 Reactions
264 Replies
18K Views
Kule Arusha mambo yazidi kuwa moto kwa CCM. Jamaa yangu kaniarifu mida hii kwamba kuna baadhi ya meseji (SMS) za uchochezi dhidi ya Wakristu zinatokea hapo -- kwa njama zinazosukwa misikitini kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nawashangaa sana Mashabiki wa CCM wanaojipa moyo na sekretarieti mpya na kufikia hata kuwaita majembe, binafsi sioni jembe hapo. Huyu mtendaji mkuu Kinana ndio alikuwa anaratibu kampeni za...
4 Reactions
74 Replies
7K Views
Jukwaa Katiba Tanzania limetoa hati chafu kwa wakuu wa wilaya wawili wanatuhumiwa kudhoofisha jitihada za uhamasishaji wananchi kuhusu mchakato wa katiba mpya. Wakuu hao wa wilaya waliopata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napata shida sana kama kijana wa Kitanzania ambae ni muhitimu wa chuo [Graduate],kujaribu kuangalia dhamira zetu sie kama vijana wa sasa katika umri wa kuanzia miaka 23-45, umri ambao kijana ana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Swala au kashfa lolote kuhusu Zitto Kabwe wafuasi wa CCM mmekuwa mkijionyesha mnamkubali sana na kumsafisha kuliko wafuasi wa CHADEMA ambalo ndo chama lake.Inaonekana Zitto Z Kabwe anakubalika...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Siku ya Leo itakuwa Siku mbaya Kwa wanaccm wa simanjiro na Mwanga, Simanjiro kutakuwa na mkutano wa hadhara maeneo ya Mererani huku Mwanga kukiwa na ufunguzi wa matawi Mwanga mini pamoja na reli...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na...
9 Reactions
177 Replies
14K Views
Katika pitapita zangu za mwinyi mpeku katika upekuzi, nimeifuma hii kutoka kwa katibu mkuu wa UVCCM Taifa akizungumzia juu ya mgogoro uliopo hivi sasa ndani ya chadema ambao unamuhusisha saanane...
0 Reactions
112 Replies
8K Views
Back
Top Bottom