Moja kati ya Cheche alizozitema Mwanasheria mashuhuli inchi Mabere malando Jana ni Kuwa, Ccm ilizaliwa, ikakua na sasa ina kufa. Hivyo basi hainahaja na kuendelea kushangaa inapotafunwa na...
Habari wakuu:
Muda huu ndio nafika hapa eneo la tukio ambapo kuna mkutano wa Hadhara wa chama cha mapinduzi kwa kifupi mkutano umedoda sana pamoja na kuleta wasanii mbali mbali wa bendi na...
KUTOKA GAZETI LA MAJIRA LA LEO JUMAPILI UK4.
Umoja wa vijana wa Chadema(BAVICHA) wamesema rufaa iliyompa ushindi mbunge wa arusha mjini Godbless Lema ni fundisho kwa vyama vya siasa hususani...
Meza kuu
M'kiti wa Wanawake Mhe. Maryam Khamis na Baybe Mgaza
katibu mwenezi wa chadema mhe.Husseni kauzera maarufu kama DJ RoKatibu mwenyekiti wa upande wa wanawake Mhe. Baby Mgaza
M'kiti wa...
Chama cha wananchi CUF kimeendelea kutoa laana kwa vitendo viovu vinavyotokea hapa nchini kama ilivyo kawaida ya chama hicho kutoa laana kwa vitendo hivyo.
Leo katika mkutano wake na waandishi...
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu mnyukano huu wa makamanda vijana wa Chadema,nimekuja na ushauri huu wa bure.
kunahitajika Hekima kubwa sana kwa vijana hawa.HEKIMA ni uwezo wa kusema au kufanya...
Posts za minyukano ya vijana wa CHADEMAkwa siku za hv karibun zinanifanya nione moja kati ya kanuni 3 zinaeza kua in operation;
1;kwa arguments, mpangilio wa kumbukumbu na majukumu ambayo Ben saa...
hivi kweli viongozi wetu wa CCM wanajua kuwa CCM sio chama cha matajiri na je atakayesimamishwa kugombea uraisi 2015 je tutaweza kumtetea kwa wananchi ambao watamwamini kuwa sio Fisadi?
Jumamosi ya Tarehe 7, Mwezi Aprili, Mwaka 2012, siku ambayo CDM walikuwa wanaandaa mkutano Arusha kueleza hatua itakazochukua kufuatia kutenguliwa kwa Ubunge wa Mh. Lema, nilitoa pendekezo la...
Wanajamii last week kulikuwa na Uzi kuhusu hili Gamba kurudi CCM. Chris Lukosi ni mmoja wa wakurugenzi wa SERENGETI FREIGHT & FORWARDERS Ltd ya hapa Uingereza. Baada ya misuko suko ya TBS...
Wadau, kuna umuhimu wa kutafakari kati ya watu hawa wawili.Binafsi naamini mtu yeyeto ambae ni kiongozi, hasa wa kisiasa, atakuwa katika nafasi fulani ya uongozi kwasababu tu dhamira yake...
Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi...
Ndugu wan JF, ni mara nyingi na ni sehemu mbalimbali ndani ya nchi hii kumekuwa kukifanyika tafiti mbalimbali juu ya uwepo wa mfuta, madini na gas hasa miaka ya hivi karibuni.
kumekuwa na...
Kama kawaida yangu mimi hupenda kuzungumza yale mambo ambayo watu huwa hawapendi kuyasikia hata kama yapo.
Leo napenda kushauri chadema ama wapinzani kiujumla waachane na ndoto za urais badala...
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe aweonya kuwa chama chake kitawachukulia watu wanatumiwa kutaka kukivuruga chama hicho huku akibainisha kwamba Chama chake hakina mpasuko wala mgogoro wa aina...
Wananchi mkoani Mara waandamana kupinga mauaji ya raia. Waendesha bodaboda. Barabara zimejaa na wanelekea kwa rpc. Hali ni tete. Watu ni wengi sana sana
source: Radio one breaking news
Dalili zote zinaonyesha -- na matatizo ya umeme yalianzishwa si na mwingine bali huyu huyu JK alipokuwa waziri wa Nishati mwanzoni mwa miaka ya 90 akiwa chini ya Mzee Ruksa. Wawili hao waliamua...
Hivi karibuni, William Lukuvi, alisema eti kashfa za epa na richmond ni zilipendwa hazihitaji kujadiriwa. Wanajamvi tujadiri;
kwa nini Lukuvi karopoka utumbo huu?
huu si uthibitisho kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.