USHAURI wa bure kwao

USHAURI wa bure kwao

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Nawashauri Wajibu Rufani wa Lema wajiunge na CHADEMA haraka iwezekanavyo.Hii itasaidia kupunguza makali ya gharama za kesi walizoamriwa kuwalipa Mawalikili wawili wa Lema: Method Kimomogoro na Tundu A.M. Lissu. Kwa mujibu wa Lema(akihutubia hapo jana,ingawa alisema kama utani),mmoja wa Wajibu Rufani,Juma Mkanga anajiandaa kuuza nyumba yake.

Nina uhakika gharama za Mawakili wawili wa Lema,baada ya kukokotolewa,zitawashinda akina Mama Mollel. Nawajua vyema kwakuwa nimewahi kufanya nao kazi wakati fulani.Walitegemea 'support' ya CCM. Wameaachwa solemba. Sasa wanagwayagwaya....ndio wakome sasa
 
Wananchi hawajuagi tu malengo ya ccm. Laiti wangelijua hakuna mkulima au mfanyakazi na mfanyabiashara mdogo ambaye angejiita mwanaccm
 
Back
Top Bottom