Masikini CCM - bila mbeleko ya polisi sijui itakuwaje kuanzia sasa hadi 2015!

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Nawaonea huruma sana jamaa hawa, kwani polisi wanatikwa wasiwe wanawabeba pale wanaposhindwa kujibu hoja za CDM hususan kuhusu wizi, ubadhirifu na ufisadi uliokubuhu. Ile sera ya kuifanya CDM chama cha vurugu imetupwa kuleeee!!, na kina Nape sasa wanasaga meno!

Na bao!!!!!
 

Kanundu

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
889
344
Nawaonea huruma sana jamaa hawa, kwani polisi wanatikwa wasiwe wanawabeba pale wanaposhindwa kujibu hoja za CDM hususan kuhusu wizi, ubadhirifu na ufisadi uliokubuhu. Ile sera ya kuifanya CDM chama cha vurugu imetupwa kuleeee!!, na kina Nape sasa wanasaga meno!

Na bao!!!!!

Mbona mnawasahau WAKURUGENZI WATENDAJI WA WILAYA? Hawa ndio hatari kubwa wakati wa uchaguzi!!!!!!!!!!
 

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,379
756
Kiama chao chaja hivi punde, police wil be sided to us! Nguvu ya umma itanena.

C ummeona mpinzani wa Mnyika kasalenda? Et nisameheni zile za gharama kesi nisilipe!
 

Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
1,231
CHADEMA ni noma, tumekubali kupigwa risasa, wenzetu wameuawa, damu za marehemu zimemfanya kikwete aropoke siri za chama chake za uuaji kupitia polisi
 

Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
1,231
CHADEMA ni noma, tumekubali kupigwa risasi, wenzetu wameuawa, damu za marehemu zimemfanya kikwete aropoke siri za chama chake za uuaji kupitia polisi
 

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Matokeo tumeanza kuyaona -- zome zomea ya mawaziri wanaoshindwa kuwajibika kwa wananchi.
 
Dec 11, 2010
3,321
6,323
Kwangu mimi ile kauli ya jk ya kuwataka ccm kuacha kutegemea jeshi la polisi naitafsiri kama siri iliyo mwagwa mchana kweupe.

Sent from BlackBerry 8520 Using JamiiForums.
 

Kalung'ango

Member
Dec 8, 2012
83
46
Inawezekana tamko hili la JK litafungua ukurasa mpya wa siasa za kistaarabu nchini mwetu. Siasa si ugomvi, bali ni tofauti za mitazamo na mikakati ya kuleta maendeleo na utangamano nchini. Wanachi wapewe uhuru wa kusikiliza sera muafaka na kufanya maamuzi mujarabu kwa mustakbali wa taifa letu. That's it!
 

Lwesye

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
5,292
1,137
Tunahitaji kuanzisha mjadala wa kitaifa ni kwa namna gani tutaweza kuidhibiti CCM wasitumie vyombo vya dola Usalama wa Taifa,Polisi,Magereza,Viongozi kama wakurugenzi,wakuu wa wilaya ,watendaji wa kata ,Hili swala tusipolifanyia kazi hawa mumiani CCM na michwa CCM watatutafuna tubaki mifupa,tunahitaji a strategical efforts za kukomesha dhuluma angalia mambo yanayotokea kwenye maeneo Chadema walishinda mimi naona kasi ya kuwadhibiti CCM kama ndogo naona kama wanazidi kuingia kila nyanja
Jumatatu tulikuwa pale Peacock kwenye mkutano mmoja, akaja afisa mmoja toka kitengo cha Ustawi wa jamii kaanza kutueleza umuhimu wa kutekeleza ilani ya CCM watu wakakasirika wakaanza kuinuka wengine kujitahidi kumnyamazisha lakini tayari alikuwa amewaudhi watu kisaikolojia
 

Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,870
3,262
CCM kama vilivyo vyama vingine vya Afrika vilivyoleta UHURU wa nchi zao ni CHAMA DOLA. Siku CCM ikinyang'anywa DOLA itakufa tena kifo kibaya sana kama ilivyo KANU etc.

Bila DOLA CCM ni MFU/MAITI
 

50thebe

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
3,256
2,708
You mean wataji-jei-jei wenyewe?

basi miaka yooooote mie najua eti ni KUJI-JEI JEI yaana Jei Jei zinakuwa mbili, kumbe inabidi na ile Ji ya mwanzo haina budi khusabiwa, hivyo ni zinakuwa Jei tatu...inakuwa kuJI-JEI-JEI!
 

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,210
554
Ccm bila polis mambo hayaendi, si unaona mkuu wa wilaya kule mwanza? Bado anawalilia polis wawakamate wabunge wa upinzani, huo ni udhalilishaji kwa viongozi wa upinzani!
 

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Na inavyoelekea ni kweli CCM inaanza kubakia bila nguo kwa kukosa mbeleko ya polisi. Ingekuwa ni zamani polisi wangekataza maandamano ya Lema kule Arusha kwa kutaja ripoti za kiintelijensia.

Kuna wakati mwingine huwa namuona JK ana busara kuliko watu wake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom