Batila, Kinana washutumiwa kusambaza sms za kidini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Batila, Kinana washutumiwa kusambaza sms za kidini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 27, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Kule Arusha mambo yazidi kuwa moto kwa CCM. Jamaa yangu kaniarifu mida hii kwamba kuna baadhi ya meseji (SMS) za uchochezi dhidi ya Wakristu zinatokea hapo -- kwa njama zinazosukwa misikitini kwa ushawishi wa Abdulrahman Kinana na yule mama Burian.

  Nawashauri wanaArusha na Watz woote wanaotaka mabadiliko wazibuuze sms hizi zinazolenga kuwagawa wananchi kwa misingi ya kidini.

   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu tupe vizuri juu ya hizi tetesi
   
Loading...