Swali kwa Wapambe wa Zitto ambao wapo CCM.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,372
Swala au kashfa lolote kuhusu Zitto Kabwe wafuasi wa CCM mmekuwa mkijionyesha mnamkubali sana na kumsafisha kuliko wafuasi wa CHADEMA ambalo ndo chama lake.Inaonekana Zitto Z Kabwe anakubalika zaidi nje ya CHADEMA hasa CCM w ila ndani ya CHADEMA watu hawana imani naye sana.
Swali.
Je kama ikatokea leo akahamia huko kwenu CCM kwa vile mnamkubali sana mtamsimamisha kugombea urais 2015 kupitia tiketi ya CCM?
 
Zitto hana ubavu wa kupambana na kundi la MAFISADI akiwa ndani ya CCM. Si kweli wote wanamkubali hivyo, Tayari alishajijengea uadui wa kudumu kwa kuwaanika wahalifu. Ila CCM wengi wanapenda Mh.Zitto agombee urais kupitia CDM kuliko Dr.Slaa. sijui nikawa kwanini wanalipenda hilo?
 
swali inabaki kwanini wapambe wa CCM wanapenda agombee kupitia CDM?
 
Kugombea kwa CCM hawatakubali ila wanampigia sana chapuo agombee kwa CDM.
Ukipewa nafas ya kuchagua Opponent ktk fainali utachagua wa aina gan?
 
hapa ndipo kosa lilipo, watu wenye makundi ktk vyama, kama huliungi mkono kundi lao, basi wewe ni chama pinzani. wanasahau kuwa Tanzania hii ,ina watu ambao si wapenzi wa vyama, ila wanahaki ya kupiga kura. mimi Binafsi si mwanachama wa chama chichote cha siasa ila nawapenda wanasiasa, wenye mtizamo wa taifa kwanza. mf; siwezi kushabikia kauli yoyote yenye tafsiri ya uvunjifu, wa amani,hata ujifanye unauchungu gani? wa ukombozi ukijifanya huogopi kufa ,bora nchi isitawalike sio shabiki wako kabisa.
 
Xaxa zito kasema haogpi kufa ?rais mwenyewe ivoivo up o wapi myee
 
kama unafuatilia kuna mwana CDM mmoja kaonyesha ana uchungu saaana na chama chake kamwambia ZZK kuwa wako radhi kumuuuwa asiwaletee usaliti. ndo maana zzk kamjibu hivyo. nami nimemshauri ZZK achukue usemi wa Mwl Nyerere asijibu hoja za kipumbavu.hii inasaidia kulinda heshima kwa mtu mwenye haiba kwa jamii.
 
Swala au kashfa lolote kuhusu Zitto Kabwe wafuasi wa CCM mmekuwa mkijionyesha mnamkubali sana na kumsafisha kuliko wafuasi wa CHADEMA ambalo ndo chama lake.Inaonekana Zitto Z Kabwe anakubalika zaidi nje ya CHADEMA hasa CCM w ila ndani ya CHADEMA watu hawana imani naye sana.
Swali.
Je kama ikatokea leo akahamia huko kwenu CCM kwa vile mnamkubali sana mtamsimamisha kugombea urais 2015 kupitia tiketi ya CCM?

Mkuu ilo swali litawakata CCM ngebe hadi mwisho.Sasa mpira upo kwao.Wampe Zitto Nafasi kwao kama anafaa kihivyo ,ili wathibitishe uzalendo wao.Kama kweli ni wazalendo basi wajali nchi wampe hiyo Nafasi.
 
Mkuu natumaini Ritz Kimbunga chama,@Mafili watanijibu
 
Last edited by a moderator:

Watajibu kwa ujinga au kutokuw ana ethics za majibizano.Wao huwa wanabisha kwa vile hakuna wanachojali kwa vile hawaoni taizo kudanganya, kupoteza consistency wala hawajui rational discussion ni kitu gani.

Hawa jamaa wamkuwa wakipiga kelele sana kuhusu ZItto na urais na jinsi gani CDM wanambania, Pasco kafikia, kusema kuwa ktk CCM anamtaka Mh Lowasa, ktk CDM anamtaka Zitto.Assumu kwa sababuz ilizo nje ya uwezo wa yeyote E.L anashindwa gombea je magamba wanaopiga kelele kwa pamoja na viongozi wao kuwa Zitto anafaa.Watakuwa tayari kuthibitisha huko kufaa kwake?
 
Leo namkubali Nyerere, miaka ile hakutaka kuwaamini vijana kwa haraka, alianzisha chuo cha siasa magogoni..vijana wengi ni washabiki, wananunulika kirahisi tu kuchafua wenzao, kijana ana miezi 3 kajiunga na chama anadhani yeye ni bora kuliko aliowakuta
 
Swala au kashfa lolote kuhusu Zitto Kabwe wafuasi wa CCM mmekuwa mkijionyesha mnamkubali sana na kumsafisha kuliko wafuasi wa CHADEMA ambalo ndo chama lake.Inaonekana Zitto Z Kabwe anakubalika zaidi nje ya CHADEMA hasa CCM w ila ndani ya CHADEMA watu hawana imani naye sana.
Swali.
Je kama ikatokea leo akahamia huko kwenu CCM kwa vile mnamkubali sana mtamsimamisha kugombea urais 2015 kupitia tiketi ya CCM?
Kama anavyokulika mwanaCCM Dr ndani ya CDM
 
Unafanya research hapa JF kabla hamja mfukuza Zitto? Umetumwa na Mzee Mtei & co.
 
Mkuu natumaini Ritz Kimbunga chama,@Mafili watanijibu

Mkuu Ousofia zijawahi kumsikia Zitto akitamka bayana kwamba anataka kuihama Chadema siku zote amekuwa akisisitiza yeye ni mwanachama mwadilifu wa Chadema ila kama atataka kujiunga na chama makini chenye miundo mbinu CCM tupo tayari kumpokea ni mwanasiasa mahiri atakuwa ni hazina kubwa sana kwetu; mtu ambaye hatupo na wala hatumtaki ni slaa si tu kwetu ni matapishi bali ni sawa kulamba kinyesi ulichokitoa mwenyewe.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC: Ritz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom