Sekunde,dakika,masaa,siku na miaka inakwenda kufika 2015,ahadi ni nyingi sana hazijatekelezwa kwa watanzania,acheni kuongea sana kwenye media fanyeni kazi na matunda yaonekane kwa wapiga kura na...
Ndugu wanaJF nimerudi kutoka ban,
Nilikula ban kutokana na kushindwa kudhibiti hisia zangu, kwenye ile thread ya Ben Saanane, ikiwa ya kwanza kati ya hizi threads za masalia. Nilikasirika sana...
Na Mwandishi wetu
WAKATI wakulima wa kahawa mkoani Kagera wakitaabika kwa bei ndogo ya zao hilo ambalo wanauza kwa mkopo kwa Chama Kikuu cha Ushirika - KCU (1990) Ltd, vigogo wa chama hicho...
Salma Said, Zanzibar
Posted Decemba22 2012 saa 12:26 PM
Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi, Chukwani, Kaimu Katibu wa Baraza hilo, Amour...
Daktari Mshauri Mwandamizi Mambo ya Mifugo Ikulu ya Rais Museven Daktari Sam Byagagaire Akionyesha Ng'ombe Waliozalia Njiani Mara Baada ya Kuwasili Mtukula, Akiwa na Professa Anna Tibaijuka na...
Written by ibnially
Na Masoud ali na Hemed mazrouy
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANANCHI CUF MAALIM SEIF SHARIFU HAMADI AMETOA PONGEZI KWA RAISI WA JAMUHURI YA MUNGANO WA TANZANIA DR JAKAYA MRISHO...
Mbunge wangu Mnyika natumaini umzima na unaendelea vizuri.!!
Najua kuwa una mambo mengi ya kutufanyia sisi watu wako wa Ubungo lakin mimi leo nakuomba utusaidie ili si unajua kuwa kata nyingi...
Siasa ndani ya chama cha CHADEMA hazielekei kwenye kujenga CHADEMA imara hata kidogo.Sasa hivi kumetawaliwa na siasa za ubaguzi wa aina mbalimbali vitisho na ubabe chuki, ujasusi , uchawi, visasi...
Sunday, December 23, 2012
Na Hassan Hamad, OMKR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad leo amefanya ziara ya kumtembelea Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga...
Ni hakika nchi inakabiliwa na mabadiliko ya hali ya hewa ambayo si rafiki kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Lakini, CCM-mafisadi wamechochea njaa na ufukara kwa watanzania.
Mathalan, bodi na...
Wanadhani kuwa kizazi cha miaka kabla ya ya uhuru hakina nafasi kumbe wanaota ndoto ya mchana.Hii inatarajiwa kujidhihirisha huko marekani, kwani waziri wa mambo ya nje wa marekani amependekezwa...
Katika hatua nyingine, Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro, aliyeko wilayani Ngara kikazi, amejikuta katika wakati mgumu baada ya mwananchi mmoja mkazi wa kijiji cha...
Mbunge wa Arusha Mjini Mh.Godbless Lema amesema Honey Moon yake imeisha rasmi leo na sasa anarudi kutekeleza majukumu yake ya kibunge baada ya miezi kadhaa ya kujenga Chama kwa njia ya Operesheni...
USALAMA wa Tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Burigi uko mashakani kufuatia kuwepo kwa vitendo vya uwindaji wa wanyama hao unaofanywa na watu wanaoaminika kuwa ni wahamiaji haramu.
Wawindaji hao...
Mhe ninakushauri ugombee nafasi ya uenyekiti wa chama taifa hii ni kuongeza ufanisi ndani ya chama na kufuta dhana ya ukazikasini.
pia kufungua mlango kwa vijana kuaminika na hatimaye mgombea...
Nilikuwa Dodoma mwaka 2005, wakati wa mchakato uliomalizikia kwa JK kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kupitia CCM mwaka huo. Ninakumbuka sana kuwa, ni katika wakati ule ambapo CCM waliamua...
Leo makamanda wa Arusha tumewaliza magamba Kata ya Melerani jimbo la Olesendeka, ni ukweli usiopingika majimbo yanayoongozwa na wabunge wa magamba hayana maendeleo, Melerani yenye Tanzanite...
Wanajf, mnyukano uliokuwa ukiendelea hapa jf kati ya ZITTO na BEN umetufundisha mengi. Tukiamua kuhukumu kwa kutumia maelezo yaliyotolewa bila kuona vithibitisho waliosema wanavyo, ni kuwa BEN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.