Theories 3 za minyukano ya vijana CHADEMA

Theories 3 za minyukano ya vijana CHADEMA

mzalendokweli

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
579
Reaction score
138
Posts za minyukano ya vijana wa CHADEMAkwa siku za hv karibun zinanifanya nione moja kati ya kanuni 3 zinaeza kua in operation;

1;kwa arguments, mpangilio wa kumbukumbu na majukumu ambayo Ben saa nane anaonekana kupewa ktk vikao mbalimbali alivyovitaja inaonyesha huyu jamaa anauwezo mkubwa wa kueka mikakati na utekelezaji wake, hata wenzake wamekiri hili katika majibu yao dhidi ya hoja zake na hivyo kanuni ya kwanza inaeza kua hii minyukano yoote ndio utekelezaji wa maazimio ya PM7 lengo kuu likiwa kuangamiza CHADEMA ndo mana anatajwa mtu kama Mwigulu, Nape nk.

Hii inashawishi ukiangalia kwann hawa woote waamue kufanyia minyukano yao hadharan badala ya kwe hvyo vkao huku wakijidai kua ushahidi wataweka wazi kwe vikao vya chama. Na hakuna hata mmoja, hata Zitto anaeonyesha dalili ya kua na huruma na chama. Ni kama lengo la hawa wote ni moja nalo ni kukibomboa chama. Wote wanaongea kama hakuna anaetaka kubaki chaman.

2;kwamba kweli ni minyukano na imetokea kwa bahat mbaya tu ikafikia hapa kama inavyoonekana moja kwa moja katika posts zao,

3;ukiacha Ben Saanane hawa wengine wote hawajui kwann wamejikuta humo, Ben Saanane kweli ni TISS kama walivyosuggest some members na amepanga mikakat yake kwa umakini na vijana wasio reason wotee wamejikuta kwe this mess na Ben akiona pamepoa anakuja kutupia kuni na kutaja mwingine ili mjadala uendelee.

All in all, kama Mtanzania, hiki ndio chama pekee kinachonipa faraja kuona ndio kwa kiasi kikubwa kinachowapa head ache mafisad. Hivyo kuliko sasa wajiachie, nitaendelea kukiunga mkono pamoja na upumbavu wao hivyo hivyo mradi tu kama wataendelea kuwanyima usingiza mafisad.. Mshirika ni mshirika tu ili mradi mnashirikiana kumpiga adui mmoja.
 
Juliana Shonza na Zitto kabwe ni viongozi wandamizi ndanni ya CHADEMA.

Mnashiriki kukihujumu chama?

kweli mnashiriki kuharibu matumaini ya Watanzania?

Mungu ndo mwenye kulaani, mi naomba awalaani!
 
Wanaoihujumu CHADEMA Mungu atawaadhibu mchana kweupee kama alivoisha anza,na bado.aibu hizi hamna pakuzificha wazee wa viapo vya mganga.

Nguvu ya Umma itawaandama mpaka mwisho wenu wachawi nyie!
 
huyu kijana(Ben) ni makini kwenye kujibu hoja hadi namuogopa
 
Chama kinatakiwa kiwapige chini wote hawa muda wa kujipanga upo Hili group lote la masalia they have to go.. atakaye omba samahani atarudi kama mwanachama wa kawaida
 
Hapa tamaa za kijinga na ujeuri wa kijinga unaotegemea ushirikina. Suala hapa ni vijana wanaotaka ajira (VYEO) huko chadema - na wamepata mjanja (Zitto) anaewaambia kuwa matatizo yao yangeisha kama wangemng'oa Dr Slaa na Mbowe madarakani..

Sasa wanasema tatizo sio wao. Eti tatizo ni Saanane. Ukisoma unaona wooote wanamtetea boss wao Zitto. Hawa ni kukata vichwa na kutupa baharini. Huna haja ya kujadiliana na msaliti. Awe anataka kupindua chama au msikiti au anataka kuchukua demu wako - kata kichwa na tupa baarini
 
huyu kijana(Ben) ni makini kwenye kujibu hoja hadi namuogopa
hapana, sikubaliani kwa hilo, ktu ambacho naweza kukubali huyu bwana ni tatizo hapo CDM. nasema haya kwa sababu huyu ni mgomvi na mtumika, na kila mtu ndani ya jf, aliyekuwa anajitokeza akiwa hajui, chochote juu ya matabaka ya CDM, kama ukiwa maoni yako hayaringani na watu wa upande wake, basi atakushambulia saana, mimi niliingia jf, na kuanza kumsifu saana ZZK, bila kutambua nawaudhi wengine, nilionekana siko kundi lao, kumbe mimi sjui lolote, ndo maana sasa nafumbuka macho. naaaaaamini sasa Ben si akili yake kuna REMOTE somewhere nadhani KASKAZINI.
 
Nitamlaumu Zitto, kiongozi wa juu unaleta uchawi? Kwa wasomi? Pathetically shameful
 
Nadhani ZITO ni tatizo kwa CHADEMA
Broda, bado 'unadhani' hadi leo wakat evidence zote zimemwagwa hazarani kwenye thread ya shonza?
Tuongelee hatua za mbele zaid na si suala la yeye kuwa tatizo tena.
 
Nitamlaumu Zitto, kiongozi wa juu unaleta uchawi? Kwa wasomi? Pathetically shameful
Broda,
Uchawi huenda ni wa kurithi.
Lakini kuhujumu chama wakati yuko kwenye safu ya kiongozi mwandamizi? kwanini? Unauza chama pendwa cha Watanzania na kuua matumaini ya mamilioni? kwanini ubaki!
 
hapana, sikubaliani kwa hilo, ktu ambacho naweza kukubali huyu bwana ni tatizo hapo CDM. nasema haya kwa sababu huyu ni mgomvi na mtumika, na kila mtu ndani ya jf, aliyekuwa anajitokeza akiwa hajui, chochote juu ya matabaka ya CDM, kama ukiwa maoni yako hayaringani na watu wa upande wake, basi atakushambulia saana, mimi niliingia jf, na kuanza kumsifu saana ZZK, bila kutambua nawaudhi wengine, nilionekana siko kundi lao, kumbe mimi sjui lolote, ndo maana sasa nafumbuka macho. naaaaaamini sasa Ben si akili yake kuna REMOTE somewhere nadhani KASKAZINI.

Swala ni kwamba ndugu Ben ameonekana ni mtu anajielewa kuliko wale wasaliti wenzake na alikuwa anajiamini na anachakiongea...
 
Ukisoma kwa makini majibu yao mi naona kama "wananena kwa lugha" kama "walokole" wanapodai "wameshukiwa na roho"
 
Back
Top Bottom