KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Kama kawaida yangu mimi hupenda kuzungumza yale mambo ambayo watu huwa hawapendi kuyasikia hata kama yapo.
Leo napenda kushauri chadema ama wapinzani kiujumla waachane na ndoto za urais badala yake wajikite kwenye ubunge; hii ndio njia ya mkato na strategy ya kushika serikali. Urais ni jambo dogo sana ambalo unaweza kulipata na ukawa rais picha tu ambae hana serikali.
Kwa mfano nguvu nyingi walizotumia chadema kwenye uchaguzi uliopita ili slaa awe rais urais wake usingekua na maana kwani angekua rais bila serikali jambo ambalo lisingeisadia sana chadema na wapenda mabadiliko wengine,hivyo shime sasa chadema acheni kudanganyana na ndoto za urais, nguvu kubwa ipelekeni kwenye ubunge,itengenezwe kauli mbiu "ubunge kwanza urais utakuja wenyewe baadae"
Nawasilisha.
*Angalizo wachangiaji mnatakiwa kuwa na hoja kwanza,kama huna hoja kaa pembeni,itoshe tu kuwa msomaji kuliko kuleta vioja.
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". - Regia Mtema.