Nimeamini, CHADEMA ni Wasikivu…….Soma Hii Hotuba Uone! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamini, CHADEMA ni Wasikivu…….Soma Hii Hotuba Uone!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by English Learner, Jun 11, 2012.

 1. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 344
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Jumamosi ya Tarehe 7, Mwezi Aprili, Mwaka 2012, siku ambayo CDM walikuwa wanaandaa mkutano Arusha kueleza hatua itakazochukua kufuatia kutenguliwa kwa Ubunge wa Mh. Lema, nilitoa pendekezo la kipande cha kuwemo kwenye Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA (Kipande chote kimenukuliwa hapo chini). Leo katika tathmini yangu nimebaini kuwa Mwenyekiti na CDM kwa ujumla waliitika, waliikubali na wanaitekeleza hotuba yangu. Kwa moyo wa dhati uliyojaa furaha nawapongeza sana CDM kwenye kufanyia kazi ushauri mzuri.

  Ebu nikuonyeshe sehemu walizofanyia kazi:

  Hii wamebadilisha kidogo kuendana na maeneo wayokwenda. Kwa mfano sasa uko Mtwara na Lindi, inaitwa Operesheni Okoa Kusini=UKOMBOZI


  KIPANDE CHA HOTUBA KILICHOPENDEKEZWA


   
 2. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 344
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,591
  Likes Received: 9,524
  Trophy Points: 280
  Hata mie nimefurahi kuona hili...Chama makini siku zote ni wasikivu sana...BIG UP CDM
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 23,756
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  mbona mengi tuu CDm wanafanya kwa ujumla si wabishi as long as yanaleta sense.Ni chama cha wananchi,na hivyo kinafanya unayotaka.It speople power.
   
 5. Deshmo

  Deshmo JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 4,014
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Mungu ibariki CHADEMA,wabariki viongozi wake
   
Loading...