Should CHADEMA Fire Zitto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Should CHADEMA Fire Zitto?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jmushi1, Jul 30, 2012.

?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

 1. YES

  137 vote(s)
  65.9%
 2. NO

  57 vote(s)
  27.4%
 3. May be

  10 vote(s)
  4.8%
 4. I don't know

  4 vote(s)
  1.9%
Thread Status:
Not open for further replies.
 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,

  Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?

  Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.


  Update:Baada ya issue ya kina Ben Saanane na wengineo,ni vyema chadema wakakaa kikao cha kamati kuu kulizungumzia hilo jambo na kulimaliza once and for all!Hakuna sababu ya kuendeleza malumbano kwenye chama,hayo badala ya kujenga yanaharibu.Maneno yanayosemwa na hao wanachadema huwezi kuamini kama na wao ni wanachama wa chama hicho.Wapo ndani ya chama lakini wanahubiri kuwa chama ni cha kidini,kikabila na kikanda.Kamwe watu hao hawawezi ku coexist na viongozi wenzao na chama kikabaki salama,hilo haliwezekani.Wakati wa kufanya maamuzi magumu ni sasa,hilo litawafanya wapenzi wa chadema waweke heshima kwa chama na pia kufutilia mbali dhana ya kuwa na viongozi na wanachama wenye ushawishi kueneza chuki dhidi ya viongozi wengine na chama kwasababu tu ya kutaka madaraka.Pia kama imani ya kwamba viongozi fulani wanataka kumuuwa kiongozi fulani,imani hiyo ni ya hatari sana endapo jambo lolote litampata kiongozi huyo akiwa bado yupo ndani ya chama.Hivyo maoni yangu ni kwamba muyamalize as soon as possible.

   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapo red sijakuelewa, huenda ulimaanisha spared.
  I still have trust in Zitto.
  Nasita sana kuamini kuwa this too smart boy could be tempted with money-thing!
  Aidha naijutia siku ambayo kamati itagundua na kuweka wazi kuwa Zitto amepokea rushwa in the name of money or whatever token!
  Heri ziku hiyo isingalizaliwa chini ya jua!
   
 3. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  If proved guilty should go. Issue ni ushaidi tutaupata wapi? Kama kuna uwezekano wa kupata ushaidi inabidi aondoke. Km CDM watashindwa kumuondoa watakuwa wamecheza sana faulu.
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  NOT ONLY zitto,yeyeyote atakayebainika afukuzwa mara moja.
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  Ndiyo mkuu nilimaanisha "spared", nashukuru kwa masahihisho.Nakubaliana na wewe,lakini pia kumbuka Mh Zitto amesema hizi ni siasa za majitaka na kwamba hakuna ushahidi,pia amedai ni siasa za urais,hii ina maan anaamini kuwa anapigwa vita ndani ya chama na pengine kinahusika kumchafua kwa rushwa?
   
 6. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mi bado naamini Zitto hana hatia wanamset tu ukiangalia wanaotuhumiwa nao ukiwafananisha nae ni kama magarasha kwenye karata, yaani hayategemewi tena hivyo kuwatoa kafara kimtindo haina noma, najua hatakaa kimya tutapata ukweli.
   
 7. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Jmushi1,
  Ni lazima uwepo ushahidi unaojitosheleza na usio na mashaka juu ya tuhuma.
  Huko nyuma alishawahi kusema ikithibitika amechukua rushwa atajiuzulu ubunge na waziri Mkulo naye aahidi, matokeo yake sakata likaisha ukiwa ni ushidi kuwa alitaka kuzushiwa tu. Tunawezaje kusema huu na si uzushi tu!

  Lakini kwanini iwe ZZK wakati bunge zima linanuka rushwa! tena zenye ushahidi. Si wao ndio wanufaika wa 'Jairo mapesa' n.k. Si wao ndio wapo kwenye kamati kama za akina Kafulila zinazochukua rushwa kama allowance!

  Politically, CDM wasijaribu hili. Walishajifunga mikono huko nyuma kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya watu mbali mbali. Kwa mazingira yaliyopo si muafaka hata kuongelea. Just a caution!
   
 8. E

  Escherichia Coli Senior Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zitto ni mtu muhimu kwa chama,ametoa mchango mkubwa ktk ukuaji wa CDM.Hata hivyo kama itathibitika pasipo na shaka kuwa alipokea rushwa uamuzi sahihi ni kumtimua ili ajue na watakaobaki wajue kuwa CDM kama chama tunachukia rushwa zaidi ya kumtimua kiongozi.
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  daah naombea isiwe kweli...huu mwisho wa zitto utakuwaje mbaya kisiasa?
  but nadhani kama ni kweli atakuwa alichota fungu la kutosha maana ....
   
 10. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  CDM wafanye kilichofanywa na ANC kwa malema ni ku-fire tu mbona madiwani waliwafanyia hivyo kwani zitto ni zaidi ya chama????
   
 11. bowlibo

  bowlibo JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 1,646
  Trophy Points: 280
  Ushahidi ukiwepo...........afukuzwe...... Chama kinajiandaa kuchukua dola kikiwa na watu wasafi ili kutenda usafi,nchi iwe safi. Kama ni msafi basi atakuwa among top leaders baada ya uchaguzi.
   
 12. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,833
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Mr JMUSHI I saw you deep in the night dancing naked under the baobab tree, even you want to fire ZITTO,tell us how clean you are.
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Kaka, achana na kitu inaitwa pesa! Watu wakishajua bei yako tu, umekwisha. Tatizo kubwa la masuala haya ya rushwa yanahusisha watu angalau wawili na hivyo kuifanya SIRI ya kudumu ni kazi ngumu sana hasa inapochanganyika na siasa (wenyewe wanaita 'za majitaka'!). Hao hao wanakupa pesa, wanakuzunguka na kukulipua kwa upande mwingine. Ukiangalia mwenendo tu wa Mh Zitto na aina ya tuhuma anazorushiwa (na 'wapinzani' wake) mara kwa mara pengine inakuwa vigumu kiasi kutotilia shaka/mashaka uadilifu, uzalendo na misimamo yake.
   
 14. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  Naoana kama kweli,akipita kwenye hili basi hata huo urais nadhani itakuwa si mbaya akiufikiria.Tatizo naloliona hapa pia,ni kama alikuwa anahisi hii kashfa inakuja?
   
 15. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mi sioni haja ya kumfukza lakn naomba apung├╣ze papara zake,maana kila siku anaibuka na mambo ya kwake kwake sasa aone umhim wa kuwa pamoja na wanachama wenzake
   
 16. Sisomeki

  Sisomeki Senior Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  asafishe hayo maji taka anyanywe
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  acha tu ,sijui m4c team itawaambia nini watanzania....sijui nape atafoa sadaka kubwa kiasi gani ...sipati picha
   
 18. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Naomba na wenye kelele wapewe hizo Kamati, kwani Spika alifanya Upendeleo kuwapa wenye midomo km Mrema Zito Cheyo na angewanyima pasingetulia sasa ni yupi asiyevuta akiona Bulungutu lipo chumbani kwake au cm yake imejazwa M-pesa kibao kawa Mtume au Masiha?
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  Mkuu,sidhani kama umenisoma vyema.I don't want to fire Zitto.Sina nafasi yoyote inayoniruhusu kufanya hivyo.
   
 20. m

  mbukoi JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 253
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yes they should fire him coz huyu jamaa amezidi sintofahamu anahusishaje tuhuma zake na urais wakati bado kuna miaka 3 mbele kufikia kampeni? au anataka atumie urais kama kichaka chake cha kutokujadiliwa hata pale anaposhutumiwa?..Aende zake huko mbali akagombee kama mgombea binafsi au akajiunge na SAU huko hakuna atakayemjadili sana.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...