njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 228
Naamini demokrasia ni ajira,dmmokrasia ni biashara iliingizwa kwenye soko la afrika bila kuthibitishwa ubora wake.mfumo wa utawala au mchakato wa kupata watawala nanamna ya kuendesha mambo kwa watawaliwa ni lazima uhakis hulka na utashi wa jamii husika.demokrasia kama aina ya mfumo bado haujawa na matokeo rafiki kwa nchi nying za kiafri9ka kwa sababu unapingana mno na hulka na tashi za waafrika'''mfumohuu ili uweze kufanya kazi yake vizuri lazima kuwe na jamii iliyoshiba uzalendo kwanini kwa sababu ni mfumo unaompa yeyote kua mtawala na yeyote kua mtawaliwa 'kwa jamii zilikosa uzalendo na ustaarabu yeyote yule mwenye nguvyu ya pesa na nyingine ni rais kuingi madarakani hata kama hafai kua kiongoz'ipo mifano mingi ya makovu yalioachwa na mfumo huu.'''mtazamo wangu ipo haja kwa waafrika tukae na tutafute utaratibu wetu wa kujitawala utaokao akisi tashi zetu......upo wakati nashawishika kuamini udikteta unafaa zaid kulko demokrasia hasa ninpoziangilia baaadhi ya nchi zilizo chelewa kuupokea mfumo huu wa demokrasui zilivyoendea..........linganisha na baadhi lizowahi kupokea...SAIMINI KATKA DEMOKRASIA MARA HASA KWA YANAYOTOKEA BAADA YA CHAGUZI.turudi enzi za mtemi mirambo,nyungu ya mawe.kingalu.na wengineo kujua namna walivyo patikana