Lema ndani ya kahama.

Lema ndani ya kahama.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Kamanda lema ndani ya kahama kutokana na ugumu wa maisha atabiri vita zidi ya maskini na matajiri.
 
Attachments

  • Lema.jpg
    Lema.jpg
    82.2 KB · Views: 217
Leo tunatwanga kotekote daaaa chadema kiboko, magamba hayana pa kupumulia
 
Kweli makamanda leo wanatwanga kote kote.
 
Hawa jamaa wa Chadema siwaelewi! Mbona kila mahali wapo: Kamanda Lema - KAHAMA, Kamanda Mawazo - KWIMBA, Kamanda Lissu - Bombambili Songea, Kamanda Sugu & Msingwa - Kabwe, Mbeya, Kamanda Mkuu Mbowe na wengine (Pareso, Nasari, Natse) - KARATU. Hao wengine wadowadogo wa vitongoji na vijiji ndio usiseme. Mbona wameenea nchi nzima? Ni nani huyu Jemadari wa kuipanga hii safu kiustadi hivi? Tukubali, tusikubali Chadema kuna vichwa!

Nasikia Naibu Katibu Mkuu Magamba naye yuko Maili Moja Kibaha lakini mambo yamedoda kuliko maelezo. Makamo wa Kwanza Rais wa nchi ya Zanzibar naye alikuwa Tanga kukinadi chama chake nchi jirani! Sijajua status huko.
 
hapa wanahesabu mchango wananchi wanaonesha ni namna gani wanavyo kipenda chama
 
Attachments

  • aaeio.jpg
    aaeio.jpg
    87.1 KB · Views: 99
Wapi masalia waone moto wa lema coz agenda kubwa kwao ilikuwa kummaliza kisiasa ila nadhani wamepata aibu.MAY GOD BLESS YOU Godbless Lema a.k.a baba Allbless
 
Vita ya aina hii inaweza kuidhoofisha CCM kiuraisi sana!
 
Wapi masalia waone moto wa lema coz agenda kubwa kwao ilikuwa kummaliza kisiasa ila nadhani wamepata aibu.MAY GOD BLESS YOU Godbless Lema a.k.a baba Allbless

lema atangaza mchango uliochangwa na wana kahama ni tsh 515,000
 
Attachments

  • pesa.jpg
    pesa.jpg
    140.9 KB · Views: 73
Yule aliyesema kuna wabunge saba wa Chadema wanarudisha kadi ataficha wapi uso kwani ni aibu kwa kiongozi wa serekali kutamka uongo adharani
 
Mwaga mapicha mkuu, ili tufanye comparison na ule mkutano wa CCM kibaha! ha ha haa!
 
hizo zimechangwa na walala hoi masikini, nyie endeleeni kuwategemea mafisadi na wahindi wenu

ni kweli,chadema hawatoi pesa ila wananchi walalahoi ndiyo wanaotoa kukiimalisha chama chao.
 
Back
Top Bottom