Yaliyojili 2012..Tujikumbushe!!

Yaliyojili 2012..Tujikumbushe!!

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,569
Reaction score
7,465
Mwaka 2012 Ndio hivyo tena unayoyoma, ingependeza au kujikumbusha yale yaliyojiri ndani ya huo mwaka either yalichukua headlines katika loacl news zetu au hapa JF basi yalibamba sana na mengineyo...
Nitakumbusha machache...na mengine mtaedelea...Kisiasa, Kiutamaduni, Kiburudani nk....



  1. Kifo cha Regia Mtema pale Ruvu Darajani kwa ajali ya gari....RIP
  2. Kutoroshwa kwa wanyama pori huko KIA
  3. Kuvunjwa na kuundwa kwa Baraza la Mawaziri ndani ya serikali ya JK
  4. Kifo cha Kanumba The Great...RIP, ikifuatiwa na kesi ya Lulu
  5. Inshu nzima/vita ya Sumaye na Lowassa Huko NEC
  6. Ndoo kwa Yanga na ushindi wa Kagame Cup...
  7. Mgomo wa Madaktari na inshu nzima ya Msitu wa MabwePande...
  8. Kifo cha Mwangosi..RIP na vituko vilivyofuata(like kuzomewa kwa Waziri flani na waandishi wa habari)
  9. Kuvuliwa na kupewa tena Ubunge wa Godbless Lema...
  10. Kifo cha Sharo Milionea....RIP
  11. Vikundi vya Uamsho na sakata nzima la kutekwa kwa viongozi wa kiislamu...
  12. Maandamano ya kupinga kuhamishwa kwa ges huko Mtwara...
  13. ......................................
  14. ......................................
  15. ......................................


Mnaweza kuyaendeleza, Nawatakia wote Heri ya Mwaka Mpya 2013...Mungu awabariki sana!!
ma10.gif
 
Wishing JF members Happy Blessed New Year 2013...

ma8.gif
 
Back
Top Bottom