Mwigulu katupa tip, CHADEMA tusichukie.

Mwigulu katupa tip, CHADEMA tusichukie.

Chintu

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
5,521
Reaction score
3,583
Leo asubuhi Mwigulu katoa tuhuma nzito kwamba 1-kuna mpango wa CHADEMA kuua raia katika mikutano yao, na 2- kwamba eti Polisi wanashirikiana na CHADEMA kuua raia.

Hili la pili ni la kipuuzi kwa maana hata mwenyekiti wake anajua nani kati ya CHADEMA na CCM anayeitumia polisi, lakini la kwanza japo linaonekana pia ni la kipuuzi ukijaribu kusoma between lines lina ujumbe mzito kwa CHADEMA.

Hivi sasa ni dhahiri kabisa kuwa CCM hawana tena hoja za kuishinda CHADEMA, watasema nini juu ya wizi wa Twiga wetu? watasema nini juu ya utapeli wa DOWANS wakati kumbe hata mgao wa umeme ulikuwa unapangwa mezani? watasema nini juu ya kupanda kwa deni la taifa? watasema nini juu ya utekaji na unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka?.

Hivi sasa wanajaribu kumtukana Dr Slaa na CHADEMA, lakini nadhani kuna wenye hekima ndani ya CCM wameona hiyo haiisaidii CCM zaidi ya kuzidi kuidhalilisha.

Yawezekana kabisa Mwigulu karopoka siri ya kuichafua CHADEMA kwa kusababisha mauaji kwenye mikutano yao, hili sio jipya walishajaribu Morogoro na Iringa lakini ushahidi uliwaumbua.

Ni kwa nini JK amekataa kuunda tume huru ya kimahakama kuchunguza mauaji haya?
- jibu ni rahisi wanaujua mchezo mzima na hawawezi kujichunguza wenyewe. Kauli ya Nchemba leo ni kwamba pamoja na plan A ya kuua raia kwenye mikutano ya CHADEMA kushindwa hawajakata tamaa, wanayo plan B. Wamepanga kutumia vurugu zinazoanzishwa na kundi la masalia ndani ya CHADEMA kuleta mauaji. Wanaweza kabisa kuwadhuru au kuwaua akina ZZK na kundi lake ili kujustify kuwa akina Dr Slaa ni wauaji. Kuelekea 2015 yataweza tokea mambo mazito ya kustua. Tujipange kuyatafsiri vizuri. Alichofanya Mwigulu Nchemba leo ni kutupa tip.
 
Kuna kazi kubwa ya kufanya CHADEMA wandeleze ubunifu zaid ya huu wa sasa.

mwendo wa makundi kwao sio rafiki mzuri sana katika kuendesha M4C kwao bali viongozi kwenye makundi madogo madogo

wanapoendesha M4C ni mbinu zuri zaid na ngumu kwa CCM kuwadhibiti.
 
Nilipoamini CCM ni janga kwa taifa letu ni pale CCM ilipomteua Mwigulu kuwa Naibu Katibu wa CCM Bara.

Huyu jamaa ni sawa na rafiki yake Lusinde,hakuna chochote zaidi ya matusi na kejeli. CCM bwana! Haaa...
 
Leo asubuhi Mwigulu katoa tuhuma nzito kwamba 1-kuna mpango wa CDM kuua raia katika mikutano yao, na 2- kwamba eti Polisi wanashirikiana na CHADEMA kuua raia.

Hili la pili ni la kipuuzi kwa maana hata mwenyekiti wake anajua nani kati ya CHADEMA na CCM anayeitumia polisi, lakini la kwanza japo linaonekana pia ni la kipuuzi ukijaribu kusoma between lines lina ujumbe mzito kwa CHADEMA.

Hivi sasa ni dhahiri kabisa kuwa CCM hawana tena hoja za kuishinda CHADEMA, watasema nini juu ya wizi wa Twiga wetu? watasema nini juu ya utapeli wa DOWANS wakati kumbe hata mgao wa umeme ulikuwa unapangwa mezani? watasema nini juu ya kupanda kwa deni la taifa? watasema nini juu ya utekaji na unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka?.

Hivi sasa wanajaribu kumtukana Dr Slaa na CHADEMA, lakini nadhani kuna wenye hekima ndani ya CCM wameona hiyo haiisaidii CCM zaidi ya kuzidi kuidhalilisha.

Yawezekana kabisa Mwigulu karopoka siri ya kuichafua CHADEMA kwa kusababisha mauaji kwenye mikutano yao, hili sio jipya walishajaribu Morogoro na Iringa lakini ushahidi uliwaumbua.

Ni kwa nini JK amekataa kuunda tume huru ya kimahakama kuchunguza mauaji haya?
- jibu ni rahisi wanaujua mchezo mzima na hawawezi kujichunguza wenyewe. Kauli ya Nchemba leo ni kwamba pamoja na plan A ya kuua raia kwenye mikutano ya CHADEMA kushindwa hawajakata tamaa, wanayo plan B. Wamepanga kutumia vurugu zinazoanzishwa na kundi la masalia ndani ya CHADEMA kuleta mauaji. Wanaweza kabisa kuwadhuru au kuwaua akina ZZK na kundi lake ili kujustify kuwa akina Dr Slaa ni wauaji. Kuelekea 2015 yataweza tokea mambo mazito ya kustua. Tujipange kuyatafsiri vizuri. Alichofanya Mwigulu Nchemba leo ni kutupa tip.

Na cha zaidi akamwambia ZZK kwamba, hili la anacho kiita ushahidi alio nao wa CHADEMA kupanga mauaji ni muhimu sana hata kwa ZZK kwa litamsaidia!!!!

Kama nimemuelewa vizuri ni kwamba:

- Wanapanga mambo ya kufanya ili baadae waseme tulisema mapema huku shutuma zikielekezwa kwa CHADEMA,
- Pia kuanza kuchonganisha viongozi wa CHADEMA ili wasi aminiane na hivyo kudhoofisha umoja wao na hatimaye kudumaza kasi ya kuwaunganisha waTanganyika kumuondoa mkoloni mweusi a.k.a MAGAMBA.

Kwa bahati nzuri ni kwamba kwa vile CHADEMA in Mungu, wakati wote mbinu na mipango yao dhalimu, inakuja kujionyesha mbele ya waTanganyika hata kabla haija fanyika.

Hivyo huko mnakosema ni kuropoka kwa Mwigulu, ni nguvu za Mungu zinazo tuonyesha udhalimu wao kwa waTanganyika.

Naamini yote haya yatapita, na hatimaye siku moja tutaiona Tanganyika yenye neema ikifurahiwa na kila mTanganyika.
 
Leo asubuhi Mwigulu katoa tuhuma nzito kwamba 1-kuna mpango wa CDM kuua raia katika mikutano yao, na 2- kwamba eti Polisi wanashirikiana na CHADEMA kuua raia.

Hili la pili ni la kipuuzi kwa maana hata mwenyekiti wake anajua nani kati ya CHADEMA na CCM anayeitumia polisi, lakini la kwanza japo linaonekana pia ni la kipuuzi ukijaribu kusoma between lines lina ujumbe mzito kwa CHADEMA.

Hivi sasa ni dhahiri kabisa kuwa CCM hawana tena hoja za kuishinda CHADEMA, watasema nini juu ya wizi wa Twiga wetu? watasema nini juu ya utapeli wa DOWANS wakati kumbe hata mgao wa umeme ulikuwa unapangwa mezani? watasema nini juu ya kupanda kwa deni la taifa? watasema nini juu ya utekaji na unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka?.

Hivi sasa wanajaribu kumtukana Dr Slaa na CHADEMA, lakini nadhani kuna wenye hekima ndani ya CCM wameona hiyo haiisaidii CCM zaidi ya kuzidi kuidhalilisha.

Yawezekana kabisa Mwigulu karopoka siri ya kuichafua CHADEMA kwa kusababisha mauaji kwenye mikutano yao, hili sio jipya walishajaribu Morogoro na Iringa lakini ushahidi uliwaumbua.

Ni kwa nini JK amekataa kuunda tume huru ya kimahakama kuchunguza mauaji haya?
- jibu ni rahisi wanaujua mchezo mzima na hawawezi kujichunguza wenyewe. Kauli ya Nchemba leo ni kwamba pamoja na plan A ya kuua raia kwenye mikutano ya CHADEMA kushindwa hawajakata tamaa, wanayo plan B. Wamepanga kutumia vurugu zinazoanzishwa na kundi la masalia ndani ya CHADEMA kuleta mauaji. Wanaweza kabisa kuwadhuru au kuwaua akina ZZK na kundi lake ili kujustify kuwa akina Dr Slaa ni wauaji. Kuelekea 2015 yataweza tokea mambo mazito ya kustua. Tujipange kuyatafsiri vizuri. Alichofanya Mwigulu Nchemba leo ni kutupa tip.
Kumbuka sentesi hii..IPO SIKU UTAJUA UKWELI WA MAMBO.UTAMPIGIA MAGOTI MWIGULU NCHEMBA NA KUKILI UMEKOSA.
ILA KWA SASA ENDELEA NA SIASA ZAKO HIZI ZA KISHABIKI
 
“Wanaweza kabisa kuwadhuru au kuwaua akina ZZK na kundi lake ili kujustify kuwa akina Dr Slaa ni wauaji. Kuelekea 2015 yataweza tokea mambo mazito ya kustua”.

Chonde chonde CCM msiitumie hii mbinu mtajimaliza zaidi. Uthibitisho upo. Tulifikiri kumuua Mwangosi na wananchi wengine kwenye mikutano ya CDM kungetuongezea umaarufu kwenye mikutano yetu kwa ku-create vitisho kwenye mikutano ya CDM. Waama; mkitekeleza mpango huu mtajiondoa kabisa hata kupita barabarani.

Pili, ninyi mnaosemwa kwamba mtadhuriwa ikiwa ni mbinu ama mkakati wa kuangamiza chama chenu acheni acheni hima. Msijaribu maana tunapata fununu kwamba wengine mmewahi kujifanya mnaumwa ili ionekane mmedhuriana ndani ya chama chenu . Ni inavuja kwamba mna mpango huo wa kujiumwisha karibu na vipindi vya uteuzi wa wagombea wa urais ndani ya vyama vyenu ili ionekane mmedhuriwa. Msijaribu. Kadharika mbinu hii imevuja.
 
Mwigulu anaongozwa na skafu kuongea, bila skafu ile ya shekh yahya Mwigulu hawezi kuongea kabisa.
bahati mbaya ile skafu ya kichawi inamwelekeza Mwigulu kuongea upumbavu
 
Kumbuka sentesi hii..IPO SIKU UTAJUA UKWELI WA MAMBO.UTAMPIGIA MAGOTI MWIGULU NCHEMBA NA KUKILI UMEKOSA.
ILA KWA SASA ENDELEA NA SIASA ZAKO HIZI ZA KISHABIKI

kuna kipindi niliamini kuwa mna hoja ya kutetea chama(chadema) lakini kwa andiko hili ninamwamini Ben Saanane kuwa ninyi ni ccm ndani ya chadema na mwisho wenu umefika.
 
Last edited by a moderator:
Kumbuka sentesi hii..IPO SIKU UTAJUA UKWELI WA MAMBO.UTAMPIGIA MAGOTI MWIGULU NCHEMBA NA KUKILI UMEKOSA.
ILA KWA SASA ENDELEA NA SIASA ZAKO HIZI ZA KISHABIKI

Dah umeibukia wapi mzee? Nani ampigie magoti Mwigulu? Nyie PM7 au MASALIA kuna vitu mmejipanga kufanya so tunasubiria hiyo tamthilia yenu ya kihindi.
 
Kuna thread ilianzishwa jana nilikua nasoma leo asuhuhi yenye kichwa cha habari Watch-out ≈There Will Be A Failed Kidnapping/Assassination Plan at the Beginning of 2013!
Baada ya kumaliza kusoma hii nikawasha Star TV alichotamka MWigulu kuhusa tuhuma za mauaji na kuropoka kuwa taarifa hizo zitamsaidia Zitto nikashtuka na kujaribu kuunganisha matukio nikagundua kuwa hapa kuna mchezo unachezwa baina ya hawa watu na kuna kitu serious kipo chini ta kapeti kinaandaliwa kwa ustadi mkubwa and if Zitto et al...they are big tree CDM is small axe ready to cut you down.
 
Kumbuka sentesi hii..IPO SIKU UTAJUA UKWELI WA MAMBO.UTAMPIGIA MAGOTI MWIGULU NCHEMBA NA KUKILI UMEKOSA.
ILA KWA SASA ENDELEA NA SIASA ZAKO HIZI ZA KISHABIKI
Naona wewe ulishampigia magoti tayari. Nani ampigie magoti huyu bwana matusi? mlishaanza na zenu za kujifanya mmenyweshwa sumu. mkapigwa na picha magazetini. ujinga mtupu! sasa msubiri kuuliwa, maana CCM wamewafanya guinea pigs.
 
Mwigulu anaongozwa na skafu kuongea, bila skafu ile ya shekh yahya Mwigulu hawezi kuongea kabisa.
bahati mbaya ile skafu ya kichawi inamwelekeza Mwigulu kuongea upumbavu
Nchemba Hapaswi kupuuzwa Kwa kuwa Tukumbuke kabla ya yule muuza magazeti pale Msamvu n'a mwangosi kule Iringa aliibuka Nape n'a kudai kuwa kwenye mikutano ya CDM kunatarajiwa kutokea Mauaji!! Hadi leo JK hakuwahi kutuma salaam za rambirambî kwa MWangosi wala kwa yule muuza magazeti wa Msamvu jambo linaloonyesha hayo mauaji yanapangwa kwenye CC ya magamba!!
 
Ndugu Mheshimiwa Mwingulu nimepata unabii nikuambie kuwa mambo mengi unayoyafanya kwa kutumia hila na njia zisizo safi ni chukizo mbele za Bw Mungu na usipojirekebisha na kutubu kuna hatari kubwa sana mbele yako. Kumbuka maandiko yanasema ukipanda kwa hila utavuna kwa hila. Pia maandiko yanasema mshahara wa dhambi ni mauti. Angalia damu za watu zinamwagika ( fujo za pale singida ), wananchi wanateseka kutokana na sera mbovu za chama chako na wewe pia. Kumbuka maandiko yanasema akipandacho mtu ndicho atakachovuna. Usifikiri ww kwasababu ni mjanja hapa duniani na una access ya kutumia hela za walipa kodi kufanya mambo mabaya basi hakuna wa kukufanya kitu, kumbuka Yehova Mungu Baba anasikiliza vilio vya watu wake na damu zisizo na hatia zinazomwagika kwa ajili yako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani ndo style ya kuondoka hiyo nani wakukudhibotishia kama c njemba na lusinde nec imekaa ikamuona ni bora.... Do...! Ccm bwana....
 
Huyo Mwigulu hajui lolote anaongea kama mtu ambaye hajaenda shule kabisa. Leo kaita Iliboro ni shule ya kata tangu lini Iliboru ikawa shule ya kata. Bado akadai CHADEMA wanapanga kuua watu kwenye mikutano yao hivi kweli inaweza ingia akilini kama sio uzuzu?

Yule jamaa aliyetokea Moro wa CCM alimuumbua baada ya kusema tuache mipasho na itikadi za vyama tuongele utaifa kwaza.
 
Akumbuke CCM haina mwenyewe! Wako walioipendaCM kwa dhati kama kina Kolimba lakin hawakuthaminiwa na walitendwa!
 
Akumbuke watawala kama Gadafi na Mubarak lakini walichokwa na asifikri yuko juu ya sheria kuna siku watanzania watachoka.
 
Ndugu wanajamvi, heshima kwenu!!!

Hivi TUNTEMEKE anakuwa controlled na remote ya Lumumba? Masalia ndo' mtakaompigia Mwigulu magoti na wote wanaowatumia,kwani kazi mliyopewa ya kuivuruga CHADEMA imewashinda. Mbinu zenu zote tumesha zifahamu na sasa mnaambulia aibu tupu.

Tuntemeke wafikishie taarifa MWigulu,Nape, magamba,na masalia wenzako "CHADEMA kamwe haitayumbishwa na kuvurugwa na propaganda mfu".

Subilini majibu 2015.
 
kumbuka sentesi hii..ipo siku utajua ukweli wa mambo.utampigia magoti mwigulu nchemba na kukili umekosa.
Ila kwa sasa endelea na siasa zako hizi za kishabiki

kule kwetu huwa tunasema kuku amekushinda kufikiri.
 
Back
Top Bottom