Leo nimeshangazwa sana kuona Gharama kubwa zikitumika katika kutangaza matokeo ya Sensa ambapo tayari gharama kubwa zaidi zilishatumika katika kuyaandaa. Kwani wangeamua kuyatangaza matokeo hayo kwa kutumia PRESS CONFERENCE ingewagharimu kitu gani? Huu ni utumiaji mbovu wa fedha za walipa kodi ambapo zingeweza kufanya jambo jingine kubwa zaidi.
Kulipia air time, kulipia Wasanii pamoja na anasa nyingine ni ujinga usio na maana yoyote kwa Taifa. Hatuitaji kuona Wasanii ili kusikiliza matokeo ya SENSA.
Kulipia air time, kulipia Wasanii pamoja na anasa nyingine ni ujinga usio na maana yoyote kwa Taifa. Hatuitaji kuona Wasanii ili kusikiliza matokeo ya SENSA.