FRIDAY, JANUARY 4, 2013
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege(TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman akimwelezea Dk Harrison Mwakyembe jinsi uwanja wa ndege songwe unavyofanya kazi...
JIJINI MWANZA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA ILEMELA LAENDELEA KUKUMBWA NA MTAFARUKU KWA MADIWANI WA CHADEMA KULISUSIA.
Wataalamu na wafanyakazi wa idara mbalimbali wakifuatilia...
Naomba kuuliza kama ni kweli watumishi wa umma wanatekeleza ILANI ya chama cha mapinduzi kwani kunakiongozi mmoja wa chama hicho amenukuliwa akisema watumishi wa umma waache kushabikia vyama vya...
Kwa kawaida, Jumuiya ya Vijana au Baraza la Vijana la Chama Cha Siasa (e.g. UVCCM na BAVICHA) ndio msingi wa uhai wa Chama. Uaminifu wa mwanachama hauji hivi hivi, bali ni matokeo ya mwanachama...
Sitoandika mengi leo lakini kuna harufu ya ufisadi wa kutisha kuhusu hii meli ya MV LIEMBA ambayo serikali ya Ujerumani walikuwa tayari kutoa pesa ili itengenezwe ili iendelee kutoa huduma kwa...
Katika hali isiyo ya kawaida, kikao ambacho kimewahusisha wabunge na wazee mashuhuri kutoka mkoani Mtwara kimefanyika magogoni - Ikulu mchana wa leo, lengo likiwa ni kuokoa kuzama kwa CCM kupitia...
It was seven days before Christmas eve, the period in which Christians all over the world are busy with shopping and planning for the celebration of the birth of Jesus Christ, but to me it was a...
Wananchi wa mtwara wameungana wote kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kudai maisha bora na kutekelezewa ahadi walizoahidiwa. Hayo yamesemwa na wananchi wa Mtwara, mbunge na viongozi wa...
Habari JF,
Mh mwenyekiti kwa mwaka huu alisema kuwa chama kime jipanga sana mwaka huu 2013 lakini
CHADEMA DATA BASE SYSTEM
Hii nilisiki kwa aman katibu wa chadema arusha siku ambaapo mimi...
Wadau naombeni walaU Title ya Kitabu au chapisho lolote ambalo creator wake ni Jakaya Kikwete. Kwa title ya u Dr. aliyonayo ningependa nipate walau kujua reasoning yake ili nikamilishe thesis...
JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI KULIKUWA NA HUYU MLEZI WA CHADEMA BWANA THOMAS SIMON NYIMBO,IMEKUWAJE NA KUAMUA KUFUNGA OFFICE ZOTE ZA CHADEMA ALIZOZIFUNGUA KATIKA JIMBO LA WEST NJOMBE?:violin:
Katika Hali ya Kuweweseka kuhusu maandamano yaliyofanyika juzi Mtwara Kupinga usafirishaji wa gesi asilia kwenda Dar. Waziri Sospeter amesema Wanasiasa ndio walio ratibu maandamano kwa nia...
MGOGORO wa gesi umeingia sura mpya, baada ya viongozi wa dini mkoani Mtwara kuungana na wananchi kupinga usafirishwaji wake kwenda Dar es Salaam, huku Waziri wa Nishati na Madini Profesa...
Kwanza tumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuliwezesha taifa letu kuwa nchi ya kwanza afrika kwa amani na utulivu kufuatia utafiti wa BBC kwa mwaka uliomalizika juzi.
Hapa kuna...
Nilikaa nikawaza tu,
Mwaka 2010 niliamka asubuhi na mapema na kumpigia kura Dk. Willibrod Slaa wa CHADEMA kuwa Rais wa Tanzania. Yaliyotokea kwenye uchaguzi huo wote tunajua na tulishuhudia jinsi...
Hali ya upatikanaji wa chakula katika wilaya kadhaa nchini ni mbaya sana! Baadhi ya watu wanaishi kwa kula majani na kuchemsha maembe!
Kilio hiki kimetolewa na wakuu wa wilaya nyingi hapa nchini...
Wanajf, tunapoanza mwaka nimeona nizungumzie mwenendo wa bunge letu tukufu yaani bunge la kumi chini ya spika Anna Makinda [Bi Kiroboto]
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2010, wengi tulitarajia bunge la...