JK wananchi wanalia njaa!!

JK wananchi wanalia njaa!!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,181
Reaction score
20,469
Hali ya upatikanaji wa chakula katika wilaya kadhaa nchini ni mbaya sana! Baadhi ya watu wanaishi kwa kula majani na kuchemsha maembe!

Kilio hiki kimetolewa na wakuu wa wilaya nyingi hapa nchini lakini hatua zinazochukuliwa na serikali ni za kusuasua! Njaa haina ngoja ngoja wala mipango iliyo mbioni.

Tafadhali JK simamia mwenyewe zoezi hili wananchi wako wanateketea! Pinda na timu yake wanaelekea kushindwa!
 
" Huu ni upepo tu utapita." by Dhaifu.

" ni bora watu wanaishi kwa kula majani na kuchemsha maembe ila ndege ya rais lazima inunuliwe." by Mramba.
 
" Huu ni upepo tu utapita." by Dhaifu.

" ni bora watu wanaishi kwa kula majani na kuchemsha maembe ila ndege ya rais lazima inunuliwe." by Mramba.
Suala hili lisifanyiwe siasa wala mzaha! Nguvukazi ya nchi inateketea wakati viongozi wetu wako busy kutafuta umaarufu wa kisiasa!
 
Njaa inafugwa na CCM, ni chambo cha kutafutia kura. So haitakuja iishe chini ya utawala wao.
 
Njaa inafugwa na CCM, ni chambo cha kutafutia kura. So haitakuja iishe chini ya utawala wao.
]

Wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo Igunga chakula kilichokuwa kwa ajili ya wananchi wa mkoa wa Mara kukabili janga la njaa kilihamishwa wilayani Igunga!
 
Gesi ni ya watanzania wote!Bomba lazima lijenjwe kuja Dar,Watu wa Mtwara na Lindi ni wahaini!-Prof Muhongo
 
Gesi ni ya watanzania wote!Bomba lazima lijenjwe kuja Dar,Watu wa Mtwara na Lindi ni wahaini!-Prof Muhongo
​Mapato yatokanayo na rasilimali za Taifa yatumike kuwaondolea baa la njaa wenzetu hawa!
 
Gesi ni ya watanzania wote!Bomba lazima lijenjwe kuja Dar,Watu wa Mtwara na Lindi ni wahaini!-Prof Muhongo
​Mapato yatokanayo na rasilimali za Taifa yatumike kuwaokoa wenzetu hawa!
 
Back
Top Bottom