Naomba tuwatangaze mashujaa wetu bila upendeleo wowote. Awe mwana siasa au mwananchi wa kawaida aliyefanya kazi nzuri kwa ajili ya kuleta maendeleo ya Nchi yetu. Aliyefichua uovu kwa faida ya...
MGOGORO wa makada wawili wa CCM; Benard Membe na Hussein Bashe umechukua sura mpya, baada ya mbunge huyo wa Mtama, kukiomba chama hicho tawala kuingilia kati ili kuupatia suluhu.
"Nitashughulika...
SEKRETARIETI ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),imejichimbia mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutengeneza mpango mkakati wanamna ya kuendesha shughuli zao kwa mwaka huu.
Itakumbuka...
Kila kijana wa leo katika taifa letu anategemea kuzeeka siku moja and hopefully, age graciously; Kwa vigezo Vya Umoja wa Mataifa, Umri wa uzee unaanzia miaka 60; Takwimu zilizopo zinaonyesha...
Mwenyekiti wa Tume ya marekebisho ya katiba; Joseph Sinde Warioba, hivi karibuni amekuwa akitoa matamshi yanayoonyesha dhahiri kutunyanyapaa wananchi ambao tumekuwa mstari wa mbele kutoa maoni...
Inavyoonekana ni kana kwamba mkurugenzi wa jiji la Mwanza yupo katika likizo ndefu kutokana na ukweli kwamba kuna barabara jijini Mwanza zinapitika kwa shida kubwa sana.
Angalia barabara ya...
SIKU moja baada ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), kudai CCM inashirikiana na baadhi ya viongozi wake kukisaliti chama hicho, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape...
Rushwa ni adui wa haki sinto toa rushwa wala kupokea rushwa. Nitasema kweli daima nafitina kwagu mwiko. Binadamu wote ni sawa. Sintotumia cheo chngu kwa faida yangu wala ya ndugu zangu...
Wow kumekucha! Naona CCM wamependekeza kuruhusu wagombea binafsi kwenye nafasi zote ukiwemo urais.
Hii ni habari kubwa sana kwenye siasa za Tanzania ijayo.
CHADEMA wanataka miaka 18 ndio umri...
UZEMBE wa Wauguzi wa Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kuchelewa kumpokea na kumpa huduma zinazostahili mjamzito, kumesababisha kujifungua hadharani nje ya wodi.
Mama...
----- Original Message -----
From: Amb. Ali Karume
To: shariff@omantel.net.om
Sent: Wednesday, January 02, 2013 7:09 PM
Subject: RE: [zirpp] ZANZIBAR INDEPENDENCE DAY 10.12.1963
Professor...
"" Wahuni" naam;hilo ndo jina sahihi ambalo mimi ninalichagua kwa baadhi ya vijana wasio na nidhamu kwa Chadema na baadhi ya viongozi wake wanaoongoza harakati za kukikongoroa chama hicho kwa...
Mheshimiwa waziri mkuu,napenda kutanguliza salamu zangu za mwaka mpya wa 2013 ambao naamini ni mwaka wenye malengo mapya kiutendaji na kisiasa pia.
Lengo hasa la kuandika barua hii ya wazi kwako...
Napata sana shida kujua hasa CCM ni ipi na serikali ya CCM ni ipi kutokana na vitendo vyake vinavyokinzana kati ya serikali ya CCM na CCM yenyewe.Tumekuwa tukiona maazimio mbalimbali ya chama...
Watu wanaumiza vichwa, kujipanga kupelekea ukombozi wa nchi kutoka hawa mafisadi wanaojifanya wamejimilikisha nchi, eti kuna vijipakizi vinaibuka na kuanza kuleta fujo ndani ya chama. Infact...
Waziri Mkuu aliyejiuzuru Mh.Edward Lowasa ameendelea kutapatapa katika medani za siasa. Safari hii amejitetea kuwa hana utajiri wa kutisha kama maadui wake wanavyomchafua, badala yake ana utajiri...
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Baada ya Kamanda Mawazo kuichakaza CCM Kwimba , wiki hii 2/1/2013 ata ongozana na Makamanda wa M4C kanda ya Ziwa kuwasha moto Igoma Jijini Mwanza. Ikumbukwe...
Wednesday, January 9, 2013
Juzi Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilianza rasmi kupokea maoni ya makundi maalum kwa ajili ya mchakato wa kuandikwa kwa katiba mpya ya Tanzania.
Tume hiyo...
Wakuu heshima kwenu, Leo nimesikiliza hotuba ya Mwl J.K.Nyerere kupitia sibuka tv. Angalizo kubwa na msisitizo Tanzania kuacha tabia ya kuwa omba omba kwa nchi za magharibi...
Ndugu wanaJF kabla ya ziara ya Kikwete kuingia Tabora alikuwepo Singida,kwenye mkutano wake wa hadhara pale Singida alibanwa kuhusiana na kero ya maji ikambidi amuinue mhandisi wa wilaya kuelezea...