Dr. Slaa ndani ya Mwenge Universiry College - Moshi tarehe 12.01.2013

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Posts
504
Reaction score
91
Ndugu wanajamii forum habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Mh. sana Dr. W.P Slaa siku ya Jumamosi atakuwa Moshi na moja ya eneo atakalodhuru ni Chuo Cha Mwenge.

Naomba kupata taarifa kutoka makao makuu, je ni maeneo gani megine atatembelea akiwa hapa moshi?

Naomba kuwasilisha!!!
 
Ndugu wanajamii forum habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Mh. sana Dr. W.P Slaa siku ya jumamosi atakuwa moshi na moja ya eneo atakalodhuru ni Chuo Cha Mwenge naomba kupata taarifa kutoka makao makuu je ni maeneo gani megine atatembelea akiwa hapa moshi? Naomba kuwasilisha!!!

Mkuu.
Hizi ni habari njema sana! Lakini ungeenda mbele zaidi hatua kama tatu tu ili uchimbe ukweli na ududusu maeneo atakayo tembelea baada ya kuzipata hizi za kutembelea MWUCE.

Be like socrate.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
By Abel. Nitakudhibitishia hii habari kesho saa nne asbh.Ila ni kweli jmoc tuna ugeni atakuwepo G.Lema,Lucy Uwenya,Antony Komu,Mustahiki Meya Manispaa ya Moshi Mjini ila kuna baadhi ya waheshimiwa wabunge wengine hatujapata uhakika ila watuahidi kufika na madiwani wote tuliwaalika hivyo Kuhusu.Uwepo wa Dr.Tutawataarifu tu.Maana Dr.Slaa ndiye aliyezindua tawi hili la Mwenge University nikiwa Mwenyekiti wa tawi.So Keep tuned tutakupa taarifa sahihi na ya kuwajuza wana Jf maana nitakuwanatoa updates za mkutano.
 
Tanzania mpya yenye matumaini haiko mbali. Ee mola usinichukue mpaka nishuhudie uhuru wa taifa hili lenye kila kitu kizuri
 
Ushauri wa bure kwa dk slaa.

CHUO HIKI NI CHA ROMAN CATHOLIC- Itaongeza uchochezi wa Kidini bora Aende Muslim university
 
Nani wa kuulizwa zaidi ya mleta taarifa! Kwa nini usinge tulia kupata taarifa kamili?

Ndugu wanajamii forum habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Mh. sana Dr. W.P Slaa siku ya Jumamosi atakuwa Moshi na moja ya eneo atakalodhuru ni Chuo Cha Mwenge.

Naomba kupata taarifa kutoka makao makuu, je ni maeneo gani megine atatembelea akiwa hapa moshi?

Naomba kuwasilisha!!!
 
Wewe unafikira za kitoto, hiki ndicho ulicho kuwa una kitafuta lakini ulishindwa kukiweka pale juu!

Hivi hicho chuo wanasoma wakristo peke yao!

Huu ni utapiamlo wa upstairs!

Ushauri wa bure kwa dk slaa.

CHUO HIKI NI CHA ROMAN CATHOLIC- Itaongeza uchochezi wa Kidini bora Aende Muslim university
 
Huko muslim awaachie wakina Jk, Zoka, Saidi Mwema, Othman Chande, Suleiman Kova, Mohamed Shein, Abdalla kigoda, ..................... refer to the endless list
 
By Abel. Nitakudhibitishia hii habari kesho saa nne asbh.Ila ni kweli jmoc tuna ugeni atakuwepo G.Lema,Lucy Uwenya,Antony Komu,Mustahiki Meya Manispaa ya Moshi Mjini ila kuna baadhi ya waheshimiwa wabunge wengine hatujapata uhakika ila watuahidi kufika na madiwani wote tuliwaalika hivyo Kuhusu.Uwepo wa Dr.Tutawataarifu tu.Maana Dr.Slaa ndiye aliyezindua tawi hili la Mwenge University nikiwa Mwenyekiti wa tawi.So Keep tuned tutakupa taarifa sahihi na ya kuwajuza wana Jf maana nitakuwanatoa updates za mkutano.

Ila mkuu na wewe unatabia za magamba na uchu wa madaraka! Niliwahi kusoma mahali ulikataa kufungua ofisi na kukwepa uchaguzi usifanyike ili uendelee kuwa mwenyekiti mpaka wanachama wakaamua kwenda kuripoti kwa katibu wa chadema wa wilaya.

Hata hapa umeendelea kujidhihirisha kuwa unapenda vyeo vyako vilivyo pita vijulikane.
 
Tunasubiri updates wakuu,kuna nini haswa mkutano au kongamano?
 
Huko muslim awaachie wakina Jk, Zoka, Saidi Mwema, Othman Chande, Suleiman Kova, Mohamed Shein, Abdalla kigoda, ..................... refer to the endless list

KKKT ataenda Lowasa,........................................................................................endlesss

au kaenda kuungama kidesign ????????????????????????????????? au kutoa taarifa ya kuyumba kwa Chama.
 
ushauri wa bure kwa dk slaa.

Chuo hiki ni cha roman catholic- itaongeza uchochezi wa kidini bora aende muslim university
chuo kumilikiwa na roman catholic si hoja mzee kwani wanasoma watu wa dini tofaiti, na kwa taarifa zaidi ofisi za chadema ziko nje ya chuo si ndani wala uongozi wa chuo hauna uhusiano kabisa na ujio wake!
 
Mwenyekiti wa tawi ametujulisha kuwa kutakuwa na ugeni hapa tarehe 12.01.2013 siku ya J'mosi utakao ongozwa na G.LEMA'KAKA WA TAIFA'.SO kama kuna mabadiliko ya zaidi ni kama kamanda Abeli alivyo comment.
 
Ndugu wanajamii forum habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Mh. sana Dr. W.P Slaa siku ya Jumamosi atakuwa Moshi na moja ya eneo atakalodhuru ni Chuo Cha Mwenge.

Naomba kupata taarifa kutoka makao makuu, je ni maeneo gani megine atatembelea akiwa hapa moshi?

Naomba kuwasilisha!!!
Rekebisha basi hiyo heading mjomba!! Universiry ni mnyama gani huyo!!
 
Tumieni siku hiyo ya Mapinduzi Ya Zanzibar kutafakari na Dr slaa kuwa Haki isipopatikana kwa Amani basi njia ya amani itakuwa imeshindwa kujibu ombi letu la haki na usawa.
 
Kama njia ya amani inashindikana there is another way..tutai opt.
 
Back
Top Bottom