Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Deodat, Nov 2, 2010.

 1. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Baba! Baba! Nafikiri leo ukiyakumbuka maneno yako, unajuuuuta kumfahamu Wenje! ha ha ha ha ha ha!  Mafisadi! Piga chini! Wezi! Piga chini! Majambazi! Piga chini! Wachakachuaji! Piga chini!

  Wera weraaaaaa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. M

  Mabeja Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu bwana anasema amepita bila kupingwa kumbe ilikuwa danganya toto. Cha moto amekiona na nadhani hatarudia tena. Ulikuwa ubunge wake wa kwanza na wa mwisho!! Hahahahahahahahahahahahaha. Huyu jamaa baba yake alikuwa UDP na acyually huyo mzee walikuwa ndiyo waasisis wa mageuzi ya vyama vya siasa kanda ya ziwa. Mtoto tunasikia ghafla akaibukia CCM. Nadhani amekiona cha mtema kuni!!
   
 3. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Huko aliko anajinyea kama siyo kujikojolea FISADI, mwanaharamu. Alimega mke wangu, mwacheni tu na bado. Ngoja kesi za ufisadi zifunguliwe bungeni atakiona cha moto
   
 4. A

  AMETHYST Senior Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  THis You tube video clip will remain as a monument in the history of those irresponsible people who were given positions of trust and used them to please their boss regardless of the wananchi priorities..mbunge kijana mpuuzi kabisa kuwahi kutokea Tanzania, mwenye fitina na mlafi wa mali ya umma
   
 5. Paka_Shume

  Paka_Shume Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 22, 2007
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hapo halipo leo akiiona hii video anabwabwaja machozi. Its a classic and a lesson to all CCM leaders who thought they will rule us to the end of time. "Its a new day, its a beautiful day".
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  halafu ukamwacha aende zake????
  tuuzie kesi hiyo kaka tuhangaike naye
   
 7. Wakwetu03

  Wakwetu03 Senior Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hahahahaaa...
   
 8. mbogodume

  mbogodume Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duh, kumbe wakina slaa wako wengi eenh!
   
 9. v

  valour Senior Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  This is a classic one; huwa naangalia viongozi wanaowatumia wananchi kwa ubinafsi wao, deep down in my heart huwa nawahurumia sana na kusema MWOGOPENI MUNGU. Kilichotokea kwa Masha kitakuwa fundisho kwa wengi.

  Jana nilikuwa naangalia matokeo rasmi ameshindwa kwa tofauti ya takribani kura elfu 10, this is very serious ukilinganisha na mbunge wa CCM shinyanga aliyemshinda wa chadema kwa tofauti ya kura 204 tu.

  MUNGU WETU AENDELEE KUTUPIGANIA WAPENDA MAGEUZI ILI HAKI ITENDEKE
   
 10. f

  freddielly Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hahahahaah...........cha moto amekiona
   
 11. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  HAHAHAHAHAHAHAA! Aaaaaaaha HAHAHAHAHAH! Sijawahi kucheka kwa furaha kama nilipoangalia hiyo video clip. Hahahahahah! Hihihihi!!
   
 12. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Huyu hapo ndo mashaka na JK wanamega pamoja
  [​IMG]
   
 13. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Duuu.....wanafaidi....lakini that era imekwisha....kuzizinzia kwenye serikari...miiko hawaijui.
   
 14. A

  Aine JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani jamani, ya kweli haya!kazi ipo bungeni mwaka huu, i wish i'd be there!
   
 15. A

  Aine JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unbelievable! wow TANZANIA, Mungu tusamehe sana na usikumbuke maovu yetu
   
 16. h

  harrysonful Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  nasema hao walotangaza shy ccm imeshinda ni maharamia,, tume iliwatagazia wananchi wa shy kuwa chadema imeshinda then tbc wakasema ccm imeshinda eti tume ilitangaza ili watawanyike.nasema kumamae waache kuwafanya watanzania ni kuku wa kisasa(bloilaz) tena waache upuuzi wa kijinga. Na machafuko yoote yaliyotokea na yatakayotokea shy atakae wajibika ni msimamizi wa tume kwa kutangaza ujinga na kutumika kisiasa..i say they have to pay 4 it. Shy komaeni nao hata kama watawauwa mtakumbukwa kwa kutetea haki za wengi
   
 17. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Huu ni upuuzi wa hali ya juu na kucheza na haki za wananchi, huyo msimamizi anastahili viboko!
   
 18. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Heeh! kumbe ndio kinachomweka mjini......okay! I can connect a few dots! ndio maana aliwaasa akina mama wawanyime waume zao unyumba kama hawaisapoti CCM...kwa vile anaamini hiyo ni silaa kubwa sana....poor YOU, mwanamke ni zaidi ya "K".
   
 19. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Yaani akimuona wenje na slaa nafikiri atatamani awaamkie!
   
 20. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Halafu huyo ndio unaambiwa alikuwa mmoja kati ya wale mawaziri 5 ambao JK alikuwa anawaona mashine kali, ha ha ha ha! Yaani hapo Wenje kaua ndege wawili kwa jiwe moja, JK na Masha wake..........ha ha ha ha! Deep Green Finance........EPA.
   
Loading...