Miaka 50 Ya CCM Madarakani Ni Laana Kwa Watanzania. Tukicheka Nao Tutavuna Mabua!

Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Messages
3,450
Likes
32
Points
0
Age
39
Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2009
3,450 32 0
CCM imekuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 50. Tulichokivuna wanatanzania ni Ufisadi, Umasikini, Umwinyi na usultani wa Viongozi wake. Wamekuja na mambo kibao, Nuguvu mpya, na hari mpya ambayo imeyeyuka bila utekelezaji. Wakaleta kujivua gamba, yote ikawa ni kama sanaa ya kaole.

Licha ya kwamba wamepewa majina ya mafisadi wakubwa, hakuna hata Fisadi papa aliyekamatwa. Leo wako majukwaani kutangaza sera mpya. Sera za nini ambazo watazitekeleza leo wakati miaka 50 wamshindwa kununu X-ray kwenye mahospitali. Heti leo wanaomba waendelee kuongoza. Waendelee kuongoza huku wazee wakiwaweka watoto wao waendeleze ufisadi

Watu walioshindwa kutunza familia zao wanapata wapi moral authority Tanzania. Namaanisha waliokimbia (waliowatosa) majukumu yao ya kutunza wake na watoto wao marekani ndio leo tuwape madaraka? Watu ambao licha ya umri wao kuwa mababu, ndio kwanza wanazunguka na vitoto vidogo Ma miss.Hapa namaanisha William Malechela ambaye kila kukija anaibuka na Thread ya kuisifia CCM. Wanaotuhumiwa kuwaua tembo na Faru ndio wanaonadi sera za Chama. Mh. Kinana anatuhumiwa na biashara ya Pembe za Tembo, ambaye kwa nchi za watu angejiuzulu, lakini yeye anazawadishwa ukatibu Mkuu wa Chama?

Hivi kweli Tanzania tumelaaniwa nini? Tukiendelea kucheka na hawa Nyani tutavuna Mabua. Mimi nilishatupa kadi yangu ya CCM April 2012
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,044
Likes
11,981
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,044 11,981 280
Safi sana Muke Ya Muzungu wape kadi za cdm wote wakuzungukao sambaza ujumbe huu kwa wote wakuzungukao m4c with no apology.
 
Last edited by a moderator:
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
641
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 641 280
Muke ya Mzungu, laiti tungejua ni kwa nini mafisadi hawako tayari kutoka ccm na ukweli kwamba wako tayari kufanya chochote serikali yetu iendelee kuongozwa na ccm, hakika jana ingekuwa siku ya mwisho kuongoza nchi hii.

Huyo kinana, kazi kubwa aliyonayo ni kulinda maslahi ya ccm kwa hadaa za aina yoyote ile, yuko radhi kuuwa tembo zaidi na zaidi ili kufinance kampeni za kuipaka rangi ccm, na iko wazi, yuko radhi kufanya hivyo mpaka siku anaingia kaburini, na sio yeye tu, ni timu nzima ya viongozi wa ccm, sababu wanajua siku ikitoka madarakani na wao ndio kwisha.
 
Tango73

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Messages
1,678
Likes
44
Points
135
Tango73

Tango73

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2008
1,678 44 135
umezungumza vizuri sana mkuu mkuu baba maqumazani! Kumbuka pia, tanzania ilikuwa haizoi taka kwa miaka 28 tangia tuvunje serikali ya mitaa mwaka 1974!!!!!!!cha msingi ni kuhakikisha hapewi mtu kura mpaka tuwe na katiba mpya kabla ya 2015. na ndani ya katiba lazima kiwepo kifungu cha kumshitaki raisi akiiba pesa, kunyonga wahujumu uchumi,tume huru ya uchaguzi, TAKURU na MAHAKAMA kuu kuwa huru. Oiga marufuku kuunga tume na kazi za upelelzi zirudishie jeshi la polisi na sio wabunge wala rushwa tena.
 
Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Messages
3,450
Likes
32
Points
0
Age
39
Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2009
3,450 32 0
Muke ya Mzungu, laiti tungejua ni kwa nini mafisadi hawako tayari kutoka ccm na ukweli kwamba wako tayari kufanya chochote serikali yetu iendelee kuongozwa na ccm, hakika jana ingekuwa siku ya mwisho kuongoza nchi hii.

Huyo kinana, kazi kubwa aliyonayo ni kulinda maslahi ya ccm kwa hadaa za aina yoyote ile, yuko radhi kuuwa tembo zaidi na zaidi ili kufinance kampeni za kuipaka rangi ccm, na iko wazi, yuko radhi kufanya hivyo mpaka siku anaingia kaburini, na sio yeye tu, ni timu nzima ya viongozi wa ccm, sababu wanajua siku ikitoka madarakani na wao ndio kwisha.
inatia aibu na huyu anayetia kinyaa. Kubwa Jinga William Malechela aliyewakimbia watoto na mke. Atatujali ni raia ikiwa hawajali watoto wake? Hama kweli sisi wnanchi nido wajinga... Kinana hana mpya. Ni jangili la kisomali linalozidi kupora mali zetu.

Kama kweli Mungu yupo na amehusika na mauaji ya faru na tembo, huyu mtu anafaa kunyongwa. Siye wananchi iko siku tutamkamata na mikono yetu na kumng'oa shingo
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
5
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 5 135
Muke ya Mzungu, laiti tungejua ni kwa nini mafisadi hawako tayari kutoka ccm na ukweli kwamba wako tayari kufanya chochote serikali yetu iendelee kuongozwa na ccm, hakika jana ingekuwa siku ya mwisho kuongoza nchi hii.

Huyo kinana, kazi kubwa aliyonayo ni kulinda maslahi ya ccm kwa hadaa za aina yoyote ile, yuko radhi kuuwa tembo zaidi na zaidi ili kufinance kampeni za kuipaka rangi ccm, na iko wazi, yuko radhi kufanya hivyo mpaka siku anaingia kaburini, na sio yeye tu, ni timu nzima ya viongozi wa ccm, sababu wanajua siku ikitoka madarakani na wao ndio kwisha.
#Chadema wakiingia woote watapelekwa jela!
 
Tango73

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Messages
1,678
Likes
44
Points
135
Tango73

Tango73

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2008
1,678 44 135
ni laaana wakati ule wa chama chashika hatamu.kweli kipindi kile CCM ilisahau kabisaa nini maana ya maendeleo. ilifikia pointi mpaka soko kuu la kisasa la Dodoma liliporwa na viongozi wa CCM.yaani unaingia sokoni unakuta house boy wa kiongozi wa chama na ubao unauza binzari! Halafu ona SUKITA ilivyokuwa inafyonza mikopo kutoka mabenki ! Halafu chunguza mapesa ya matembezi ya mshikamano yalivyokuwa yanatumika bila taarifa! angalia watu wasio na kazi walivyokuwa wananaswa Dar Es Salaam. Yaani askari wa mgambo walikuwa wanajificha pale bonbe la mchikichini asubuhi sana kuwanasa watu waendao kuomba vibarua pugu road.

kweli marekani kuua ukomunisti na kufuta ujamaa na kujitegemea hapa TZ, kaleta uhuru kamili kwa mtanznaia.
 
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
764
Likes
2
Points
33
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
764 2 33
Muke ya muzungu hii chama mbofu bana kadi yangu niliidumbukiza chooni jana na mende pia wamekataa kuilamba
 
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,385
Likes
3,042
Points
280
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,385 3,042 280
CCM imekuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 50. Tulichokivuna wanatanzania ni Ufisadi, Umasikini, Umwinyi na usultani wa Viongozi wake. Wamekuja na mambo kibao, Nuguvu mpya, na hari mpya ambayo imeyeyuka bila utekelezaji. Wakaleta kujivua gamba, yote ikawa ni kama sanaa ya kaole.

Licha ya kwamba wamepewa majina ya mafisadi wakubwa, hakuna hata Fisadi papa aliyekamatwa. Leo wako majukwaani kutangaza sera mpya. Sera za nini ambazo watazitekeleza leo wakati miaka 50 wamshindwa kununu X-ray kwenye mahospitali. Heti leo wanaomba waendelee kuongoza. Waendelee kuongoza huku wazee wakiwaweka watoto wao waendeleze ufisadi

Watu walioshindwa kutunza familia zao wanapata wapi moral authority Tanzania. Namaanisha waliokimbia (waliowatosa) majukumu yao ya kutunza wake na watoto wao marekani ndio leo tuwape madaraka? Watu ambao licha ya umri wao kuwa mababu, ndio kwanza wanazunguka na vitoto vidogo Ma miss.Hapa namaanisha William Malechela ambaye kila kukija anaibuka na Thread ya kuisifia CCM. Wanaotuhumiwa kuwaua tembo na Faru ndio wanaonadi sera za Chama. Mh. Kinana anatuhumiwa na biashara ya Pembe za Tembo, ambaye kwa nchi za watu angejiuzulu, lakini yeye anazawadishwa ukatibu Mkuu wa Chama?

Hivi kweli Tanzania tumelaaniwa nini? Tukiendelea kucheka na hawa Nyani tutavuna Mabua. Mimi nilishatupa kadi yangu ya CCM April 2012
Mama mlaani Nyani aliyekuzaa Tanzania ukimlaumu kwa nini hakukuzaa huko unkokupenda.
Kwani huko hakuna miti?
 
Forum statistics

Threads 1,237,078
Members 475,401
Posts 29,277,500