Mjadala Channel 10 - Gesi Asilia

Mjadala Channel 10 - Gesi Asilia

ilboru1995

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
2,329
Reaction score
269
Fuatilia mjadala channel 10... Jenerali Ulimwengu anawapa darasa Mawaziri wa CCM...Kuna wachangiaji wa Mtwara wameongea kwa uchungu sana, anasema wamekoseshwa elimu lakini mungu kawaona akawapa Gesi...wako tayari wauawe mkoa mzima lakini Gesi haitatoka...
 
Back
Top Bottom