Huyo ni miongoni wa waandishi wachache sana wenye uzalendo wa hali ya juu sana n'a nchi yake, n'a ndiyo wakati ule gazeti la Rai lilipokuwa Rai la ukweli walimjengea zengwe eti siyo raia wakati alishawahi kushika nyadhifa mbalimbali za kisiasa ukiwemo ujumbe wa NEC n'a ukuu wa wilaya!! waandishi wanaharakati wa aina yake wamebaki wachache sana, akiwemo Kubenea, waliobaki wengi wao ni makanjanja wachumia tumbo, wapo tayari hata kuandika habari za uchochezi unaoweza kuleta machafuko nchinî, lakini kwao hao makanjanja hilo haliwahusu kwao la muhimu mradi mkono uende kinywani!!!