Tumaini Makene Ndani ya EATV

Tumaini Makene Ndani ya EATV

Adrian Stepp

R I P
Joined
Jul 1, 2011
Posts
2,764
Reaction score
2,609
Leo saa kumi na moja jioni katika kipindi cha HotMix, Tuna tarajia uwepo wa msemaji wa chadema Ndg Tumaini Makene .

Kikubwa tutaangalia juu ya Mgogoro unaofukuta ndani ya BAVICHA pamoja na maoni ya Chadema juu ya katiba mpya.

Je, Ungependa kusikia nini toka kwa Msemaji Huyu wa Chadema??

#Natambua uwepo wake humu ndani!!
 
Kwanza niwarekebishe Bavicha haina Mgogoro wowote.Bali kuna kundi la watu walionunuliwa kuhujumu demokrasia.Tayari walishafukuzwa na Bavicha inaendelea na kazi zake chini ya John Heche.

BTW,Tutamuomba mkuu Tumaini Makene atufafanulie kuhusu mapendekezo ya umri wa Mgombea Urais kwani CCM na magazeti yao ya Propaganda yanatumika kukashfu Chadema kwamba inataka watoto wa miaka 18 wawe Marais.
 
Last edited by a moderator:
mwulize makene:kama wameweza kuwafukuza the so called masalia, mbona kiongozi wao zitto kabwe hawajamfukuza??
 
BTW,Tutamuomba mkuu Tumaini Makene atufafanulie kuhusu mapendekezo ya umri wa Mgombea Urais kwani CCM na magazeti yao ya Propaganda yanatumika kukashfu Chadema kwamba inataka watoto wa miaka 18 wawe Marais........

Mkuu Molemo hilo pendekezo letu la umri wa kugombea uongozi nafasi zote kuwa miaka 18 limewavuruga sana magamba.
Chadema inajua wapi pa kuwekeza na kwa wakati gani na kwa nani.
 
Kwanza niwarekebishe Bavicha haina Mgogoro wowote.Bali kuna kundi la watu walionunuliwa kuhujumu demokrasia.Tayari walishafukuzwa na Bavicha inaendelea na kazi zake chini ya John Heche.

BTW,Tutamuomba mkuu Tumaini Makene atufafanulie kuhusu mapendekezo ya umri wa Mgombea Urais kwani CCM na magazeti yao ya Propaganda yanatumika kukashfu Chadema kwamba inataka watoto wa miaka 18 wawe Marais.
Kweli kabisa unavyosema Molemo,Chadema hakuna mgogoro bali kuna mimba ya mgogoro na muda si mrefu mtoto atazaliwa akiwa anatembea na meno 32.
 
mwulize makene:kama wameweza kuwafukuza the so called masalia, mbona kiongozi wao zitto kabwe hawajamfukuza??

Usiwe na haraka chadema ni chama makini, ukikata mti unaanza kuuchimba(kujua tatizo) then unaanza kukata mizizi midogomidogo ya Pembeni(masalia) mwisho unakata mzizi mkuu (ZZK) hiyo yote ni hatua!Akina Shonza waliopigwa chini umesikia wakifungua mdomo? ni kwa kuwa zoezi lilifanyika kwa umakini na umadhubuti, Vuta subira tuu Great Thinker!
 
Kweli kabisa unavyosema Molemo,Chadema hakuna mgogoro bali kuna mimba ya mgogoro na muda si mrefu mtoto atazaliwa akiwa anatembea na meno 32.

wewe Mingoi kwelikweli!!unashikirisha ubongo kuandika kweeli?? you are a disappointment to JF!
 
Mkuu Adrian Stepp ahsante kwa taarifa.

Tumaini Makene uwe makin usituangushe kwani siku hizi magamba yanasaka vikauli vidogo vidogo na kuvikuza. Pia nami napenda kupata ufanunuzi wa maoni ya chama kuwa hata mtoto wa form2 wa miaka 18 anaweza kugombea urais?
Pia mwsiho usisahau kuchambua kwa kina about the so called "Masalia"
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na haraka chadema ni chama makini, ukikata mti unaanza kuuchimba(kujua tatizo) then unaanza kukata mizizi midogomidogo ya Pembeni(masalia) mwisho unakata mzizi mkuu (ZZK) hiyo yote ni hatua!Akina Shonza waliopigwa chini umesikia wakifungua mdomo? ni kwa kuwa zoezi lilifanyika kwa umakini na umadhubuti, Vuta subira tuu Great Thinker!

........

Endeleeni kujidanyanga,Zitto mtaendelea kumuangalia hivyo hivyo kama jua au mwezi angani.
 
Mkuu Adrian Stepp ahsante kwa taarifa.

Tumaini Makene uwe makin usituangushe kwani siku hizi magamba yanasaka vikauli vidogo vidogo na kuvikuza. Pia nami napenda kupata ufanunuzi wa maoni ya chama kuwa hata mtoto wa form2 wa miaka 18 anaweza kugombea urais?
Pia mwsiho usisahau kuchambua kwa kina about the so called "Masalia"

.......

Hawezi kutuangusha ni mtu makini sana anajua kuongea namkubali sana pale makao makuu anasimamia anachokiamini.

Masalia wasipewe Airtime leo wasahaulike kabisa hawana maana.
 
wewe unahusikaje na ya chadema??
Ukiondoa itikadi ya kisiasa mimi ni muumini wa utaifa,Zitto ni kiongozi jasiri na imara.CCM haikatazi kwa mwanachama wake au kiongozi wake kuunga mkono jitihada za kiongozi wa upinzani.
 
Bravo kamanda
Makene.What I actually admire about Makene is his simple and
straight forward analysis almost like Mark Regev.Spin doctors
wataumbuliwa leo

Mkuu Mbona tayari ulishawaumbua na wameshaumbuka!? hahahaaha Tuma ni 'Jembe' namfahamu toka tupo UDSM mie nafanya harakati, ambazo nilimrithisha sasa kafikia patamu, Go on dogo...
 
Back
Top Bottom