Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Zaidi ya Sh 115 Milioni zitatumika kujenga Kituo cha kisasa cha Polisi katika Kijiji cha Bashnet Wilayani Babati ili kukidhi haja ya kusogeza Huduma za kipolisi kwa Wananchi.
Hayo yamesemwa leo...
Hivi kweli unampa mtu jukumu la kuamua kesi kubwa Kama ya Tundu Lissu inayorushwa live dunia nzima, Hakimu unayemlipa shilingi laki sita kwa mwezi?. Huyu Hakimu unamtendea haki kweli? Ni lini...
MBINU ZA TAARIFA, TEKNOLOJIA, NA UCHAGUZI WA TAIFA
Katika historia ya siasa za Afrika na dunia kwa jumla, ushindi wa kisiasa umewahi kutegemea mishale, bunduki, maandamano, na hatimaye kura...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mara, Mary Daniel, ameibuka mshindi wa kura za maoni za CCM kuwania ubunge wa Jimbo la Serengeti, akimshinda kwa mbali mbunge...
Slogan ya No election no reform ilikuwa imeshaanza kueleweka mpaka vijijini .
Ila sasa kinachotokea ni either kukosa Mwelekeo na kujua nini wanabidi wasimamie kwa wakati husika.
Page zote za...
Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ADA-TADEA, Ally Makame, ameikosoa vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya No Reforms, No...
Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi Mkuu ngazi ya Kata wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, bila kupokea au kutekeleza...
Siasa ni ujinga ulio kubuhu.
Ujinga wa siasa ulifanya na umefanya
-Ukraine na Russia kugombana hawa ni ndugu wa damu kwa kiasi kikubwa
- Korea kugawanyika na kuzalisha kusini na kaskazini na...
Wajumbe hawana utani, wamemtwanga vibaya ndugu Mnyeti.
Anaitwa ‘𝘽𝙪𝙜𝙤𝙩𝙖 𝙬𝙖 𝙈𝙞𝙨𝙪𝙣𝙜𝙬𝙞’ (dawa ya Misungwi) jina maarufu alilopewa na wananchi wa Jimbo la Misungwi, wakimaanisha ‘dawa ya Misungwi’...
Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi
Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile .
Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata...
My Take
Hakuna haja ya viti Maalumu maana wanawake wenye uwezo wapo
================
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Uchaguzi Jimbo la Musoma Mjini wamemchagua kwa kishindo Mgore Miraji Kigera...
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini anayetetea nafasi yake, Shabani Ng’enda, ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 2,168.
Clayton Revocatus Chipando...
Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, licha ya kung’atuka madarakani mwaka 2015, anaendelea kuacha alama kubwa zisizoonekana moja kwa moja katika mfumo wa...
Katika siasa za ukomunisti:
Chama chenye mamlaka ya utawala ambacho ni chama cha kikomunisti kimejishikiza na vyombo vya ulinzi na usalama vyote.
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama vinakuwa...
Polepole ameamsha hasira miongoni mwa wanaccm walio wengi. Na hivyo kupelekea vigogo 3 kujipanga kwenda mahakamani kuzuia uteuzi wa mgombea urais kwa madai kuwa mchakato haukufuata katiba, kanuni...
SHEHE ISSA PONDA KUSHINDA JIMBO LA TEMEKE MCHANA KWEUPE - MIKIKI KATIKA KUTETEA WANYONGE NDIO TURUFU YAKE TEMEKE - MAMBO MANNE KUMBEBA JIMBO LA TEMEKE.
Uislamu unaweza kumbeba sana Shehe Issa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.