tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
1. Kukumbatia Mafisadi na Wafanyabiashara ili hali wananchi wengi wapiga kura ni maskini wa kutupa.
2. Kuiacha Serikali kuendekeza vitendo vya Udini Bila kutafuta ufumbuzi wa Kudumu.
3. Kuwaachia Viongozi Wasanii wasio na Stadi za Uongozi Bora, Kuiongoza Serikali.
4. Usimamizi mbovu wa Serikali ktk Rasilimali za Nchi na Kuyaterekeza maeneo yanayotoa Rasilimali ghafi kama Gesi na madini.
5. Kubebana bebana na Kulindana lindana ktk Nyazifa za Serikali ili hali uozo na udhaifu uko wazi.
6. Kutokuwepo kwa Misimamo na Matamko ya Serikali katika Kutatua matatizo na migogoro ya Taifa.
7. Matumizi ya Mabavu ya Vyombo vya dola na Mauaji ya Raia.
8. Kutoa Ahadi nyingi Hewa na Sera Mbovu zisizotekelezeka.
9. Kukosekana kwa Mpango Madhubuti Kitaifa wa kukabiliana na Tatizo la Ajira kwa Vijana nchini.
10. Mawaziri kujikita zaidi ktk Makundi na Mapambano ya nani Mgombea Urais 2015 badala ya kusimamia shughuli za Maendeleo ya Wananchi.