Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Picha huongea zaidi...
================
Moshi yawa kufuru.
Dr slaa ndio anahutubia na amewaomba ccm wenye hasira wachome kadi zao, watupe au waiweke Kama mjane.
Ameuliza wanao Kubali mabadiliko wanyooshe mikono juu umati ukaonuka na kusema kaburi la ccm lianzie Moshi.
Slaa akamwambia OCD, RPC na mkurugenzi kutuma ripoti kwa kikwete kwamba wananchi hawamtaki na wampe ushahidi wa picha kwenye nyomi iliyokuwa hapo.
Update.
Slaa amemwambia kikwete Kuwa alishamuonya Kuwa nchi haitatawalika na yametimia. Amuonya Kuwa asifanye kazi kishemeji yeye na mwema kwa kupoteza maisha ya watu. Nakwambia ikulu Leo hapakaliki kwani dunia imeshamjua na wanamuandalia the Hague na Kama kuna Polisi anataka kunikamata aje tuu Hapa Hapa wala asinitafute baadae