Kada wa CCM Unga Ltd ajiunga CHADEMA

Kada wa CCM Unga Ltd ajiunga CHADEMA

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Kuna taarifa kuwa Katibu mwenezi kata ya Unga ltd CCM na mjumbe wa UVCCM mkoa amejiunga na CHADEMA rasmi leo.
 
Tunataka watuambie wataifanyia nini CDM sio CDM itawafanyia nini kisha watuambie walipo waliomchinja kada wetu maarufu pale unga ltd na kuachiwa na polisi wakimbie
 
.

....hameni haraka ....maana ....watakao baki
huko...... Mungu atakuja kuwaswaga jehanamu.....
 
Wenye kuweza kutabiri wanaamua kuikimbia CCM, wasiojua kutabiri wanaikimbilia CCM, kwa kujiunga na kutumika, mwisho wao umekaribia, wengine wameonekana Kibaha wakijaribu kuwarubuni Vijana wawaunge mkono nawaeleza kuwa "WAMEULA WA CHUYA".
 
Back
Top Bottom