Wakuu katika kuzifatilia kwa umakini baadhi ya hoja za watu wa Ntwara a.k.a Samaki Nchanga a.k.a Uchiteme wala uchimung`unye., ukitema nchale ukimung`unya nchale,, a.k.a kunyima ntu kitu nnto. a.k.a Samaki nchanga nimeona kwamba baadhi za hoja zao hazina msingi. Wanaleta maandamano bila kujua msingi wa katiba yetu tuliyonayo sasa. Kwa katiba tuliyonayo sasa ni kwamba rasilimali zote ni mali ya taifa kwa pamoja hivyo hakuna cha Ntwara wala Lindi.
Kwa mfano dai la gesi kuzalishwa Ntwara na kubaki Ntwara mimi nalipinga kwa 100 percent kwani hakuna kitu kama hicho kwenye katiba. Hivyo kama wanantwara wanataka kuwa na nguvu na gesi yao wanapaswa kuungana na wazo la CHADEMA LA UWEPO WA SERIKALI ZA MAJiMBO KATIKA KATIBA MPYA IJAYO. Vinginevyo wananchi wa Ntwara watakuwa wanavunja katiba mchana kweupeeee!!! Wakamatwe haraka na kuchukuliwa hatua kwa kosa la kuvunja katiba.
Pia naomba kuwafahamisha watu wa Ntwara kuwa kama mnatakakufaidika na rasilimali zenu mnapaswa kichwani muwe fiti. Kwa mfano vijana wa Arusha baada ya kuona kuna utalii Arusha walijitahidi na wanaendelea kusoma kozi zihusuzo utalii na wamefanikuwa kuteka opportunities karibuni zote zihusuzo utalii.
Tumieni akiri vijana na nendeni shule mkasome. Matokeo ya Darasa la saba mwaka huu kusini mmekuwa wa mwisho kweli mtafaidika na gesi hii kwleli? Mimi nasema elimu elimu elimu. Kutokana na elimu ya juu waliyonayo Marekani Mafuta yanayozalishwa na waarabu ndiyo yanajenga Marekani, Dhahabu inayozaliswa shinyanga ndiyo inayojenga Mwamza, Tanzanite ya Manyara inajenga Arusha, Rubi na dhahabu ya Ulanga inajenga Arusha na ndiyi ilivyo kwenu, Gesi mliyonayo itajenga Dar.
N.B . Na hata 2018 inaposemekana China itashinda uchumi marekani bado wamarekani wataendelea kuishi standard life na kuendeleza ustarabu wao kuwazidi wachina.