CHADEMA wako miungu watu,wako juu ya katiba

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,351
Reaction score
3,403
CHADEMA imekua kinyume na fikra za watanzani tulivyotarajia,watanzania hasa vijana tulikua na tumaini kubwa sana na chama hiki.Watanzania walitumaini ni chama chenye misingi ya kidemokrasia,chama ambacho chini ya katiba ya chama wanachama wote ni sawa,chama chenye kupigania haki na usawa wa wanyonge.

Lakini baada ya kupata mafanikio kidogo yale yaliokua yamejificha sasa yanaanza kuonekana,Waswahili wanasema asiri haifichiki.Kumbe ni chama cha wachache walio vaa ngozi ya ukombozi,mbwa wakali tena hatari waliojivisha ngozi ya kondoo mawindoni.Wamekua kama wanawake wasio na sifa za kuolewa pindi wanapoitafuta ndoa wanayaficha makucha yao wafanikishe malengo yao,ila wakishaolewa sasa ndani hapakaliki.

Ni kweli kwa hali hii kama watanzania tutafunga ndoa na chama hiki siku moja tutajuta kwani si mke mzuri. Nini kosa la Juliana Shonza?Hivi kueleza uozo wa DR.SLAA ndio afukuzwe?Demokrasia iko wapi?

CHADEMA ni chama cha uma au chama cha watu fulani wenye kuchukua hatua kwa matakwa yao ni si kwakufuata katiba?Dr ni nani hata awe juu ya katiba?

Ni vyema,kwani sasa tunaanza kupambanua vizuri na kufahamu katika vyama tulivyo navyo hapa nchini upi ni mchele na ipi ni chuya.Naamini nguvu ya uma ni kubwa kuliko hawa watu wachache wanyanyasaji,Watu hawa hawatoweza kufua dafu mbele ya nguvu umma.

Si muda mwingi ugandamizaji na unyanyasaji ndani chama uma utaleta suluhisho na heshima itatawala.
 
chinjia baharini masalia damu na machozi yataenda na maji!
 
CDM imekua kinyume na fikra za watanzani tulivyotarajia,watanzania hasa vijana tulikua na tumaini kubwa sana na chama hiki.Watanzania walitumaini ni chama chenye misingi ya kidemokrasia,chama ambacho chini ya katiba ya chama wanachama wote ni sawa,chama chenye kupigania haki na usawa wa wanyonge.Lakini baada ya kupata mafanikio kidogo yale yaliokua yamejificha sasa yanaanza kuonekana,Waswahili wanasema asiri haifichiki.Kumbe ni chama cha wachache walio vaa ngozi ya ukombozi,mbwa wakali tena hatari waliojivisha ngozi ya kondoo mawindoni.Wamekua kama wanawake wasio na sifa za kuolewa pindi wanapoitafuta ndoa wanayaficha makucha yao wafanikishe malengo yao,ila wakishaolewa sasa ndani hapakaliki.
Ni kweli kwa hali hii kama watanzania tutafunga ndoa na chama hiki siku moja tutajuta kwani si mke mzuri.
Nini kosa la Juliana Shonza?Hivi kueleza uozo wa DR ndio afukuzwe?Demokrasia iko wapi?CDM ni chama cha uma au chama cha watu fulani wenye kuchukua hatua kwa matakwa yao ni si kwakufuata katiba?Dr ni nani hata awe juu ya katiba?
Ni vyema,kwani sasa tunaanza kumpanua vizuri na kufahamu katika vyama tulivyo navyo hapa nchini upi ni mchele na ipi ni chuya.Naamini nguvu ya uma ni kubwa kuliko hawa watu wachache wanyanyasaji,Watu hawa hawatoweza kufua dafu mbele ya nguvu uma.Si muda mwingi ugandamizaji na unyanyasaji ndani chama uma utaleta suluhisho na heshima itatawala.

Mchukueni kibaraka wenu, mtafutieni chama kingine akahariabu huko
 
Chama chetu hakisemwi vibaya,utaambulia dhihaka hapa mpaka nasi
 
CHADEMA imekua kinyume na fikra za watanzani tulivyotarajia,watanzania hasa vijana tulikua na tumaini kubwa sana na chama hiki.Watanzania walitumaini ni chama chenye misingi ya kidemokrasia,chama ambacho chini ya katiba ya chama wanachama wote ni sawa,chama chenye kupigania haki na usawa wa wanyonge.

Lakini baada ya kupata mafanikio kidogo yale yaliokua yamejificha sasa yanaanza kuonekana,Waswahili wanasema asiri haifichiki.Kumbe ni chama cha wachache walio vaa ngozi ya ukombozi,mbwa wakali tena hatari waliojivisha ngozi ya kondoo mawindoni.Wamekua kama wanawake wasio na sifa za kuolewa pindi wanapoitafuta ndoa wanayaficha makucha yao wafanikishe malengo yao,ila wakishaolewa sasa ndani hapakaliki.

Ni kweli kwa hali hii kama watanzania tutafunga ndoa na chama hiki siku moja tutajuta kwani si mke mzuri. Nini kosa la Juliana Shonza?Hivi kueleza uozo wa DR.SLAA ndio afukuzwe?Demokrasia iko wapi?

CHADEMA ni chama cha uma au chama cha watu fulani wenye kuchukua hatua kwa matakwa yao ni si kwakufuata katiba?Dr ni nani hata awe juu ya katiba?

Ni vyema,kwani sasa tunaanza kupambanua vizuri na kufahamu katika vyama tulivyo navyo hapa nchini upi ni mchele na ipi ni chuya.Naamini nguvu ya uma ni kubwa kuliko hawa watu wachache wanyanyasaji,Watu hawa hawatoweza kufua dafu mbele ya nguvu umma.

Si muda mwingi ugandamizaji na unyanyasaji ndani chama uma utaleta suluhisho na heshima itatawala.

uwepo wa Dr.W.Slaa umesababisha wahujumu uchumi wajivue ufahamu.
Hakika kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
Mbona hata CCM kuna watu hawaguswi,Rostam asingeondoka mwenyewe na kutamka anaachana na siasa uchwara za CCM mpaka leo angekuwa mbunge na mjumbe wa harmashauri kuu,Lowasa na Chenge wametunisha misuli mpaka mwenyekiti taifa kanywea na bungeni wakachukua uenyevti wa kamati za bunge.Sina hakika kama CHADEMA kuna watu hawashikiki maana Juliana anatoa shutuma baada ya kufukuzwa lakini kwenu hakuna wakubwa?
 
Heri ya CDM wanao miungu watatu kuliko Magamba wenye miungu milioni hata vitimbamkwiri na vinyamkera. Kweli nyani haoni kundule!
CHADEMA imekua kinyume na fikra za watanzani tulivyotarajia,watanzania hasa vijana tulikua na tumaini kubwa sana na chama hiki.Watanzania walitumaini ni chama chenye misingi ya kidemokrasia,chama ambacho chini ya katiba ya chama wanachama wote ni sawa,chama chenye kupigania haki na usawa wa wanyonge.

Lakini baada ya kupata mafanikio kidogo yale yaliokua yamejificha sasa yanaanza kuonekana,Waswahili wanasema asiri haifichiki.Kumbe ni chama cha wachache walio vaa ngozi ya ukombozi,mbwa wakali tena hatari waliojivisha ngozi ya kondoo mawindoni.Wamekua kama wanawake wasio na sifa za kuolewa pindi wanapoitafuta ndoa wanayaficha makucha yao wafanikishe malengo yao,ila wakishaolewa sasa ndani hapakaliki.

Ni kweli kwa hali hii kama watanzania tutafunga ndoa na chama hiki siku moja tutajuta kwani si mke mzuri. Nini kosa la Juliana Shonza?Hivi kueleza uozo wa DR.SLAA ndio afukuzwe?Demokrasia iko wapi?

CHADEMA ni chama cha uma au chama cha watu fulani wenye kuchukua hatua kwa matakwa yao ni si kwakufuata katiba?Dr ni nani hata awe juu ya katiba?

Ni vyema,kwani sasa tunaanza kupambanua vizuri na kufahamu katika vyama tulivyo navyo hapa nchini upi ni mchele na ipi ni chuya.Naamini nguvu ya uma ni kubwa kuliko hawa watu wachache wanyanyasaji,Watu hawa hawatoweza kufua dafu mbele ya nguvu umma.

Si muda mwingi ugandamizaji na unyanyasaji ndani chama uma utaleta suluhisho na heshima itatawala.
 
CHADEMA imekua kinyume na fikra za watanzani tulivyotarajia,watanzania hasa vijana tulikua na tumaini kubwa sana na chama hiki.Watanzania walitumaini ni chama chenye misingi ya kidemokrasia,chama ambacho chini ya katiba ya chama wanachama wote ni sawa,chama chenye kupigania haki na usawa wa wanyonge.

Lakini baada ya kupata mafanikio kidogo yale yaliokua yamejificha sasa yanaanza kuonekana,Waswahili wanasema asiri haifichiki.Kumbe ni chama cha wachache walio vaa ngozi ya ukombozi,mbwa wakali tena hatari waliojivisha ngozi ya kondoo mawindoni.Wamekua kama wanawake wasio na sifa za kuolewa pindi wanapoitafuta ndoa wanayaficha makucha yao wafanikishe malengo yao,ila wakishaolewa sasa ndani hapakaliki.

Ni kweli kwa hali hii kama watanzania tutafunga ndoa na chama hiki siku moja tutajuta kwani si mke mzuri. Nini kosa la Juliana Shonza?Hivi kueleza uozo wa DR.SLAA ndio afukuzwe?Demokrasia iko wapi?

CHADEMA ni chama cha uma au chama cha watu fulani wenye kuchukua hatua kwa matakwa yao ni si kwakufuata katiba?Dr ni nani hata awe juu ya katiba?

Ni vyema,kwani sasa tunaanza kupambanua vizuri na kufahamu katika vyama tulivyo navyo hapa nchini upi ni mchele na ipi ni chuya.Naamini nguvu ya uma ni kubwa kuliko hawa watu wachache wanyanyasaji,Watu hawa hawatoweza kufua dafu mbele ya nguvu umma.

Si muda mwingi ugandamizaji na unyanyasaji ndani chama uma utaleta suluhisho na heshima itatawala.

Kama Juliana ameona chama hakimfai kwanini asiondoke? Anapata faida gani kama anaongozwa na watu "waovu" namna hiyo? ajabu!
 
Ukitaka kumjua aziniye na mkeo, mpe talaka mke wako.
 
Nina mashaka na uelewa wa mtoa hoja,ungekuwa unaijua katiba ya cdm basi usingeleta hoja hii,mtatetea sana masalia lkn kwishaa habari,cdm itabaki kuwa juu.
 
Ajifunze kusema na kutenda sio propanganda tu, nidhamu wapi na wakati chama chake hakina maadili hata kidogo. Wanapuuza hoja za msingi za wanachama wanajikumbatia wao na kuonekana kama Miungu watu.

Naiona Chadema kama chama ambacho kingeweza kuleta ukombozi wa mtanzania lkn sio chini ya akina Mbowe, Zitto na Slaa. Wakubali siasa za kukosolewa kwanza.
 
Mods unganisheni hizi threads zimetuchosha

Nimeweka majibu ya freeman mbowe kwa upuuzi huu unaoendelea wameutoa haraka sana naisi kuna mkono wa maCCM kwenye ilijambo na mungu yupo na CDM millele......Amina.
 
Back
Top Bottom