Ndg wa jf
Tuhuma anazotoa Shonzya ni nzito na hazitakiwi kuzikurupia kishabiki bila kuangalia mkutadha wa uhalisia.
Mimi naona CDM Ingeunda tume huru juu ya madai yake na kumshambulia. Leo hii linapotokea hili lispoangaliwa kwa jicho la tatu litaleta taswira yenye Ukakasi kwa umma ulionyuma ya Juliana.
Haya mambo siyo ya Mdhaha ati kutukanana n.k. Kuja na hoja za matusi na dharau kwa Juliana ili hali ni ss tulimchagua ni personal attack.
Kama madai yake ni Gari, ml.140, ukandanizesheni, Heche kwa Masilahi ya Wakubwa athibitishe, na si kusema kauli za kitoto.
Pia suala la dr. Slaa kugombea urais sio tatizo. Tatizo linakuja pale watu wanapotaka kushindana naye kuonwa kama Waasi na hawanajipya na nia yao ni kuivuruga CDM. Hapa ni kufinya Na kuua demokrasia ya kila mtu kuwa huru kuchagua au kuchaguliwa.
Mbowe tafadhari wakalishe vijana myamalhze. Leo mtamfukuza Juliana, kesho atakuja mwingne kwa namna nyingne. Suala kaeni myamalize kwa Moyo wa Mashauriano na Katiba kuzingatiwa.
NAOMBA KUWASILISHA