Maswali kuhusu mchakato wa katiba

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
Naomba msaada, sijauelewa vizuri mchakato wa katiba. Baada ya MAONI, hiyo tume itaandika katiba au maaoni yanapelekwa kwa Raisi ndio inaandikwa au Bunge linamalizia.

Na kama ni tume itaandika katiba baada ya maoni au kushirikiana na Raisi. Hakuna wasi, raisi anatia mkono hapa. Je? kutakuwa na uthibitisho gani kuwa maoni yote yanatiliwa mkazo. Na jinsi ya kupitisha maoni, wanapima vipi? Je wanaangalia ni maoni yapi mengi, kwa kula au wana tumia discretion ndio wana andika katiba. Nawasiwasi democrasia inaweza kubakwa.

Mwisho, baada ya katiba kuandikwa, inawezwa kupingwa au kufanyiwa amendment kama kuna kasoro?

Naomba msaada manake nipo confused hapa.
 
Back
Top Bottom