Katibu mkuu wizara ya ujenzi matatani

saimon111

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
1,736
1,352
kama ilivyoada serikali ya mdhaifu huwa haiishiwi vituko. safari hii ni katibu mkuu wizara ya ujenzi Balozi HERBERT MRANGO, huyu bwana alishastaafu muda wake wakukaa ofisini lakini akaenda kulia aongezewe miaka miwili ambayo imeisha mwaka 2012.

lakini tangu muda wake umeisha wakukaa ofisini mpaka leo bado yupo ofisini kwa kigezo kuwa waziri ndio anaujua mkataba wake. isitoshe katibu mkuu huyu ameshindwa kumwajibisha mmoja wa wakurugenzi wake katika wizara yake JULIANA MWAKITOSI ambaye amekutwa na skendo ya ngono ofisini hapo.

isitoshe katibu mkuu huyo pia anasababisha mambo mengi ya wizara hiyo kukwama kutokana na kutoruhusiwa kusahini mikataba yeyote kutokana na kuwa muda wake wa ofisini umekwisha.

katibu mkuu kiongozi alipoulizwa kuhusu swala hilo alikwepa kujibu na hivyo kufanya katibu mkuu wa ujenzi kujisifu kuwa ataongezwa muda zaidi kwa kuwa katibu mkuu kiongozi ni ndugu yake.

CONCERN
hivi utumishi wanaruhusu vipi mtu kama huyu kuwepo ofisini mpaka leo ?
 
Msilete mada za kitoto jamvini, sasa matata kwa Baloxi yako wapi?
Pengine kichwani kwako!
 
kama hujaelewa omba kueleweshwa, ukishindwa na hapo basi utakua na tatizo la huelewa
 
Back
Top Bottom